Tetesi: Wakulima Tandahimba kuandamana kupongeza kurudishiwa korosho zao

sioni tatizo kabisa kama wauzaji wanaelewa kuwa walikuwa wamewashikisha wajeda korosho ambazo hazina ubora swali ni kuwa kama hizo korosho hazina ubora wanarudishiwa wazipeleke wapi
 
Mzee baba kwani hujaona ile tafiti flani inasema"asilimia 85 ya Watanzania IQ zetu ni below Avarage". Hawa ndo wana prove na nahisi sample space ilikua huko[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasisi watumishi wa umma tunaomba kuandamana kumpongeza kwa kutokupanda madaraja miaka sita sasa wakati ilitakiwa tupande kila baada ya miaka mitatu. Kwakweli huyu ni kiongozi anayedhubutu na hata mshahara hakuna kupanda, binafsi mwisho kupanda ilikuwa 2010 miaka Tisa nasotea daraja moja. Hapa kazi tuu malipo mbinguni
 
Nyie Chinga vipi tena? Siku serikali ikichukua tena korosho kwa ahadi hewa, mtaandamana kuipongeza au vipi?
 
haya maajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…