Wakulima, trekta gani utanishauri ninunue?

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ndugu wataalamu.

Nataka kuaianza hii biashara ya kilimo na pia nikikodishwa nitaenda kumlimia mtu. Bado nafanya utafiti wa tractor gani ninunue Jembe na Harrow yake. Naamini humu mpo wenye uzoefu kuanzia bei, aina, wapi pa kununua, changamoto zake n. k.

Nitangulize Shukrani.
 
Angalia na aina ya mazao unalenga kama ni mpunga yafaa trekta zenye uwezo mkubwa na kama ni mahindi au alizet hata ndogo sawa tu trekta nzuri ni new Holland yenye 4wheel kwa mashamba magumu ndio nayoona
 
Wale wadau wa trekta kuna wasap group tukutane tusaidiane ushauri na utatuzi wa haya mambo nicheki 0653 639214
 
sasa hv weng wananunua sana "Case iii " zinafanana sana na New holland bei zake ni rafiki na ata spare zake ni affordable na zinapatikana kwa urahisi sana.
Hzi zinafaa kwenye mashamba yote mahindi, mpunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…