Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 788
- 1,743
Katika Hali isiyo ya kawaida wakulima wa zao la chai wilayani Rungwe mkoani Mbeya hawajalipwa fedha zao ambazo kwa kawaida hulipwa Kila mwezi, halafu imekuwa ni kawaida Yao wamiliki wa viwanda kutowalipa wakulima kwa wakati na katika miezi wanayodai huwapooza kwa kuwalipa mwezi mmoja halafu wanatulia mpaka sasa ni miezi minne wakulima hawajalipwa.
Bodi ya chai wapo wa Dar es salaam wanakula viyoyozi.
Bodi ya chai wapo wa Dar es salaam wanakula viyoyozi.