aBuwash JF-Expert Member Joined Dec 26, 2023 Posts 262 Reaction score 497 Oct 11, 2024 #1 Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU, Karimu Chipola amefungua rasmi mnada wa kwanza leo Na bei ndo ni kuanzia kilo 4075 hadi 4070 Kwa kweli hongereni wakulima hiyo ni babu kubwa sana
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU, Karimu Chipola amefungua rasmi mnada wa kwanza leo Na bei ndo ni kuanzia kilo 4075 hadi 4070 Kwa kweli hongereni wakulima hiyo ni babu kubwa sana
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Oct 11, 2024 #2 Inapendeza
S Soulja boy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2015 Posts 4,052 Reaction score 7,375 Oct 11, 2024 #3 Bei nzr
aBuwash JF-Expert Member Joined Dec 26, 2023 Posts 262 Reaction score 497 Oct 11, 2024 Thread starter #4 Soulja boy said: Bei nzr Click to expand... Sana nguvu ya uchaguzi kwa hakika inaonekana
LordMasele III JF-Expert Member Joined May 22, 2021 Posts 288 Reaction score 251 Oct 11, 2024 #5 aBuwash said: Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU, Karimu Chipola amefungua rasmi mnada wa kwanza leo Na bei ndo ni kuanzia kilo 4075 hadi 4070 Kwa kweli hongereni wakulima hiyo ni babu kubwa sana Click to expand... kwa anaefahamu bei ya ufuta kwa mkoa wa mbeya naombeni msaada wakuu.
aBuwash said: Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU, Karimu Chipola amefungua rasmi mnada wa kwanza leo Na bei ndo ni kuanzia kilo 4075 hadi 4070 Kwa kweli hongereni wakulima hiyo ni babu kubwa sana Click to expand... kwa anaefahamu bei ya ufuta kwa mkoa wa mbeya naombeni msaada wakuu.