kido madini
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 223
- 144
Ndani ya ekari mbili wastani wa mavuno ni tani 10 mpk tani 12 km una chembeka yani umepanda kwa vitalu lakin km unapanda broadcasting yani unamwaga hizo ekari mbili utapanda wastani wa debe moja na nusu hadi debe 2 mavuno ni gunia 50 hadi 70 kwa ekari mojaNipo hapa,Mimi nataka kulima kitunguu nimeandaa eka mbili za mbuga.
Kwa sasa nataka niangushe shamba na nitapitisha tena jembe LA tractor afu ndo nitapanda!
Ndani ya eka mbili hizo naweza vuna gunia ngapi?
Mbegu sijapata pia.
IPI inaleta mavuno mazuri kati ya hizo njia mbili za kupanda?Ndani ya ekari mbili wastani wa mavuno ni tani 10 mpk tani 12 km una chembeka yani umepanda kwa vitalu lakin km unapanda broadcasting yani unm. amwaga hizo ekari mbili utapanda wastani wa debe moja na nusu hadi debe 2 mavuno ni gunia 50 hadi 70 kwa ekari moja
ya kuchembeka ina mavuno mengi mkuu lakini yote kwa yote unatakiwa kuzingatia kanuni zote za kilimo boraIPI inaleta mavuno mazuri kati ya hizo njia mbili za kupanda?
NDIO VITUNGUU HUSTAWI KWENYE HALI YA UBARIDI INGAWA Joto linatakiwa sana kwa ajili ya ukuaji wa balbu ila joto likizidi vitunguu hukomaa mapema kabla balbu hazijafikia ukubwa unaostahili, hivyo mkulima anaweza kupata mazao kidogoNaomba kufahamishwa hali ya hewa ambapo vitunguu vinaweza kustawi vizuri,,nimehamia mkoani Njombe wilaya ya makete,vipi kwa hali ya hewa(baridi mno) ya huku vitunguu vinaweza kustahimili vikamea vizuri?
NDIO VITUNGUU HUSTAWI KWENYE HALI YA UBARIDI INGAWA Joto linatakiwa sana kwa ajili ya ukuaji wa balbu ila joto likizidi vitunguu hukomaa mapema kabla balbu hazijafikia ukubwa unaostahili, hivyo mkulima anaweza kupata mazao kidogo
nakushauri kama huko kuna vyanzo vya maji ya kutosha lima kipindi ambacho mvua zinaenda mwishoni ili uwe una mwagilia
sababu naskia huko mvua ni nyingi na kama ni nyingi utaozesha mali maana vitunguu havitaji maji ya kuzidi na ukizingatia sikuhizi tunalima mbegu hizi chotara hazipendi mateso
mmebarikiwa na bwana sie huku singida ingekua hivyo tungeilisha tanzaniaAsante sana,mvua ni nyingi na udongo ni mnyevu pia.
Mfano,nimekuta wanalima mahindi kipindi chote cha mwaka bila kumwagilia pia bila mvua nikashangaa sana.
Muone huyu jamaa ana mbegu nzuri sana.Nipo hapa,Mimi nataka kulima kitunguu nimeandaa eka mbili za mbuga.
Kwa sasa nataka niangushe shamba na nitapitisha tena jembe LA tractor afu ndo nitapanda!
Ndani ya eka mbili hizo naweza vuna gunia ngapi?
Mbegu sijapata pia.
Kilo 18 mkuuNdoo kubwa mfuto inakilo ngap?
OkKilo 18 mkuu
Tone 1 average unaweza ukauza sh ngapiNdani ya ekari mbili wastani wa mavuno ni tani 10 mpk tani 12 km una chembeka yani umepanda kwa vitalu lakin km unapanda broadcasting yani unamwaga hizo ekari mbili utapanda wastani wa debe moja na nusu hadi debe 2 mavuno ni gunia 50 hadi 70 kwa ekari moja
Ndoo kubwa inatosha kupanda acre ngapi?Muone huyu jamaa ana mbegu nzuri sana.
Nauza mbegu ya vitunguu.
Mbegu ni RED MANG'OLA au nyekundu zambarau
Nipo Singida ila popote nchini inafika
BEI ni Tsh 350,000/= kwa ndoo kubwa mfuto.
Tsh 400,000/= kwa ndoo kubwa kichuguu
Maongezi yapo call 0625887645/0754710051
So true bro.... Yaani ni mtitiKilimo Cha mtandaoni ni rahisi Sana, ingia field uone kimbembe, utakemea mapepo ya korona Hadi kwenye mipapai