Wakulima wa mbegu za vitunguu, wauzaji pamoja na wanunuzi tukutane hapa

Wakulima wa mbegu za vitunguu, wauzaji pamoja na wanunuzi tukutane hapa

Kwa sasa yangu imeisha ila nachukua kwa wakulima nakuuzia kipimo ni kikombe na debe pia kg ambapo bei kwa sasa zipo juu debe 1 tsh. Laki 6 kamili
Kwa kilo moja bei yako ikoje? Je,ni ile ya Red b?
 
Back
Top Bottom