gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Mpina anunue watu ili iweje?.Anauwezo wakukaa kimya na hana anachopungukiwa.Mpina sio mjinga kama unavyofikiri.Luhaga Mpina alinunua watu waje waseme sekta ya sukari haiko vizuri, ona sasa wakulima walioko saiti wamemuumbua