Wakulima wa miwa Kilombero wampinga Luhaga Mpina

Luhaga Mpina alinunua watu waje waseme sekta ya sukari haiko vizuri, ona sasa wakulima walioko saiti wamemuumbua
Mpina anunue watu ili iweje?.Anauwezo wakukaa kimya na hana anachopungukiwa.Mpina sio mjinga kama unavyofikiri.
 
Luhaga Mpina alinunua watu waje waseme sekta ya sukari haiko vizuri, ona sasa wakulima walioko saiti wamemuumbua
Na wewe umeamini

Ujinga wa Mwafrika hauna kiwango
Waendelea kuwa maskini who cares

Wanasaidiwa hawasaidiki
Wasitupigie kelele

Mpina kanyaga twende

Bashe weh haya!
 
Mpina anunue watu ili iweje?.Anauwezo wakukaa kimya na hana anachopungukiwa.Mpina sio mjinga kama unavyofikiri.
Ni mjinga, ndio maana hatutaki aambukize watu ujinga wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…