KERO Wakulima wa tumbaku Kaliua tumedhulumiwa

KERO Wakulima wa tumbaku Kaliua tumedhulumiwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wakulima wa tumbaku wa MWEMBENI AMCOS iliyopo kaliua kijiji cha Wachawaseme, tumedhulumiwa pesa zetu, tumebambikiziwa madeni.

Kibaya zaidi wameitwa baadhi ya wakulima wakasainishwa hela wengine hatujui chochote

Tunatamani kwenda ofisi za ushirika ila huwa hawana msaada.
 
Doh na kwa uongozi uliopo, msithubutu kwenda popote maana hamutopata chechote...

Mwenye pesa anaheshiniwa kuliko mwenye haki awamu hii...

Kubalini yaishe, mulime tena mwaka huu ili mwakani mdhulimiwe tena.
 
Serikali ya sasa ni mwenye pesa ndio anackilizwa na sio mwenye HAKI. Na kibaya zaidi chura aka kizimkazi Hana time na watanganyika kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom