Wakulima wadogo wote watageuka vibarua kwenye mashamba ya hawa mabepari

Na hicho ndio kilimo kikifanyika kote kitakachoikwamua nchi. Acha wenye uwezo mdogo wasioweza kuungana wawe waajiriwa.
 
We unafikiri manyanyaso yameanza jana,au yataanza hao mabepari wakianza kulima?
Tayari wananchi wanafanya vibarua kwenye mashamba makubwa,Kagera,Moro,Mbeya,Arusha,Kilimanjaro,huko kote Kuna kilimo kikubwa Cha wenye mitaji.
Moro pale viongozi,mawaziri wengi wanamiriki maheka makubwa ya ardhi,wanafuga,Cha kufanya papaaaa Anza kumkamata ardhi sehemu mbali mbali,tatizo wabongo wengi hununua ardhi kule walipozaliwa,we nunua ardhi Kigoma,Mbogwe,Kahama,Lindi,Mbeya,Dodoma,Bagamoyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…