Baada ya wafanya biashara kugoma kununua korosho kwa bei ya zaidi ya shilingi 3000 hatimaye Serikali yaamua kijitosa katika hili na kuamua kununua kwa bei ya sh. 3300 kwa kilo. Hii ni moja ya kazi za serikali. Kuingilia kati wakati wakulima wanapodhulumiwa.