chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Inauma sana kuona sekta nzima kilimo,uvuvi na ufugaji kuwa sehemu inayotumika vibaya sana na kuachwa nyuma sana hapa kwetu.
Kitu kinacho niumiza ni pale tanzania ina umiliki mkubwa wamaeneo ambapo asilimia kubwa inashikiliwa na wakulima sana na wafugaji.
Kitu kilichonifanya kueleza haya ni baada ya kufatilia jinsi serikali za wenzetu zilivokuwa bega na wakulima wao na hata kujikita kuwawezesha kama kuwajengea miundo mbinu,mikopo ambayo lazima mkulima kupata,wataalamu na masoko.
Kwa hapa kwetu kila mtu kageuzwa mwanasesere wa kutumika kisiasa.
Jambo lengine ni viongozi wakubwa kutumia madaraka
yao kufubaza biashara kilimo ili wafanye wao na si wengine.
Kuna mmoja sitapenda kumtaja kufanya asali kuwa ni bizaa iliyowekwa na mali asili wakukamate ili yeye hapate kuuza mwemyewe nje.
Wengine wamekuwa madalali wa kutafuta na kukusanya mazao wauze wao.
Serikali inawajibu sasa wakufanya wakulima kuwa matajiri na kuzalisha chakula hata kuuzia HWO,nchi zisizo na chakura na n.k
Hili tunaomba