Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

Sikuwaga mzuri kwenye Hesabu (Namba) kuna siku nilielewa somo nikapata 6/6, Excellent.
Mwalimu wa Namba ndio pia mwalim wa darasa akanichagua monitor ( alipendezwa na sofa za utii, kuwahi, nidhamu, n.k) na kunipa majukumu ya kuandaa gumbo za mti wa mlawa (gumbo ikinyauka haivunjiki), zile fimbo zilianza kunirudia - nilikuwa nachapwa nazo, wa rafiki zabgu wananikasirikia mbaya.
 
Ipite siku sijaponza darasa lichezee stiki sio mimi na ukiniangalia ni mkimya na sura ya huruma.... nilipona uhusika wa kesi nyingi sana
 
Back
Top Bottom