Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Jaribu kupunguza upumbavu ushatoka kwenye level ya ujingaKwani wameanza leo kusimamia? Acheni uwoga kaeni mkao wa kula
Ndio maana kuanzia mwenyekiti ana hofunkuwa na tume huru ya uchaguziCCM ni Imani inayoishi na kukaa mioyoni mwa watanzania, hao sio watumishi wa CCM ila Imani ya CCM wanayo
Kwani wameanza leo kusimamia? Acheni uwoga kaeni mkao wa kula
Nioneshe tume huru ndani ya vyama vyenu vya mfukoni
Lilia uhuru ndani ya chama chako kwanzaUnatoa mfano wa chama na nchi?
Lilia uhuru ndani ya chama chako kwanza
Do not complain. There may be some way out of this calamity in offing. I hope the solution is on the way coming. You may also suggest some part of the solution.Imeshaamuliwa maDED wataendelea kusimamia uchaguzi na hakuna Tume Huru - the rules are set - je kwa nini upinzani umekubali kucheza mchezo huu?
How genuinely are they seeking Change? Au kuna back room deals za kuhakikishiwa vyeo, wameridhika?
Tusikilize majibu
#ChangeTanzania
Kama tunaitakia mema nchi hii basi tuwe na tume huru ya uchaguzi, sheria sawa kwa vyama vyote vya siasa, vyombo vya dola (polisi, usalama wa taifa, mahakama, n.k.) viwe huru, na kila mwananchi amuone mwenzake ana haki ya kuishi kwa heshima na salama katika nchi. Vinginevyo tunaelekea kubaya.Kwani wameanza leo kusimamia? Acheni uwoga kaeni mkao wa kula
Na kama hawana (wapinzani) mipango yoyote, kwa nini pawepo na uchaguzi mkuu? Au ni swala la kubahatisha?Imeshaamuliwa maDED wataendelea kusimamia uchaguzi na hakuna Tume Huru - the rules are set - je kwa nini upinzani umekubali kucheza mchezo huu?
How genuinely are they seeking Change? Au kuna back room deals za kuhakikishiwa vyeo, wameridhika?
Tusikilize majibu
#ChangeTanzania
Don't you see he's already made suggestions towards solving/avoiding the 'calamity'?Do not complain. There may be some way out of this calamity in offing. I hope the solution is on the way coming. You may also suggest some part of the solution.
Imeshaamuliwa maDED wataendelea kusimamia uchaguzi na hakuna Tume Huru - the rules are set - je kwa nini upinzani umekubali kucheza mchezo huu?
How genuinely are they seeking Change? Au kuna back room deals za kuhakikishiwa vyeo, wameridhika?
Tusikilize majibu
#ChangeTanzania
Mkuu, kwani kudai haki kama raia wa nchi hii bila kuambatana na chama cha siasa haitoshi?Chama changu kipi, mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa bali ni shabiki wa cdm. Nidai uhuru gani kwenye chama ambacho mimi sio mwanachama?
πππJaribu kupunguza upumbavu ushatoka kwenye level ya ujinga
Nadhani wewe ndio mjinga uliepitiliza amekuuliza kwani wameanza kusimamia leo? Ungepangua kwa hoja! Ila Kwavile Wana Sacco's wengi ni vilaza siwezi kukushangaaJaribu kupunguza upumbavu ushatoka kwenye level ya ujinga
Hao wapinzani kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi huwa wanakula kiapo kuwa returning officers na huacha kando vyeo vyao vya kuteuliwa. Na uzuri kila chama huwa kinaweka wakala ambae hulinda kura za chama chake kuanzia kila ngazi.Imeshaamuliwa maDED wataendelea kusimamia uchaguzi na hakuna Tume Huru - the rules are set - je kwa nini upinzani umekubali kucheza mchezo huu?
How genuinely are they seeking Change? Au kuna back room deals za kuhakikishiwa vyeo, wameridhika?
Tusikilize majibu
#ChangeTanzania
Mkuu, kwani kudai haki kama raia wa nchi hii bila kuambatana na chama cha siasa haitoshi?