figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mahakama Kuu ya Tanzania ilisema SIO SAWA Wakurugenzi (ma-DED) Kusimamia Uchaguzi.
Mahakama ya Rufani ikatengua Maamuzi hayoππΏ, moja ya sababu ilikuwa kwamba Wakurugenzi huwa wanakula kiapo cha kukana vyama vyao vya Siasa, pia hoja ya kwamba wanateuliwa na Rais hivyo hawawezi kukosa upendeleo kwa Chama tawala, Mahakama ikasema hoja hiyo ni ya kubahatisha/dhahania na inatokana na wasiwasi tu,
hakuna ushahidi.π€
Sasa leo Mahakama ya Afrika nayo imetoa neno, imesema SIO SAWA Wakurugenzi Kusimamia Uchaguzi.
Pata wasaa wa kupita nazo, nani yupo sahihi? Mahakama Kuu na Mahakama ya Afrika au Mahakama ya Rufani?βπΌ
MD, Mendez (M.C.A)
13/06/2023