data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,942
- 23,893
Hakuna nyongeza, hakuna madaraja hakuna promotions wala increment...
Lipeni stahiki za walimu..
Acheni uhuni na uwizi. Acheni kukaa na hela sio zenu.
Mimi ni muhanga ..familia yangu ina wahanga wengi...
Lipeni posho zote alizotaja Rais ikiwemo uhamisho na mengine.
Waziri mkuu asimamie.
Nitaacha kwenda kazini.
Mimi sintavumilia kama Makolo....