Wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe Wanajeshi!!!

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Habarini,
Kutokana na ubabaishaji wa wakurugenzi wanaoteuliwa na Rais kuwa wababaishaji napendekeza wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe wanajeshi.

Hii ni kutokana kwamba wanajeshi wameonesha kufanya kazi vizuri katika sehemu nyingi wanazosimamia ikiwemo uRC, uDC,uRAS,nk.

Naomba kuwasilisha
 
Hebu jaribu kuheshimu jeshi letu
 
Kuna namna Wana wekwa kwenye nafasi mbalimbali ziwe kubwa ama ndogo ki nyadhifa Ila inakua ni kimkakati zaidi.
Ni kweli tunatakiwa tuheshimu Jeshi la Wananchi wa Tanzania Ila tusisahau nao ni sehemu ya inchi yetu hivyo wanawajibika kikatiba kujumuishwa kwenye timu maalum za uangalizi na hata maamuzi ili kuweza kutishia ama kuwatisha wale wenye Nia ovu na TAIFA letu, ingawa pia inaleta ukakasi ni kweli viongozi wa juu wa hizi taasisi hawajihusishi na kinachoendelea!!!!!
Nimewaza tu na bichwa langu🤕🤕
 
Habarini,
Kutokana na ubabaishaji wa wakurugenzi wanaoteuliwa na Rais kuwa wababaishaji napendekeza wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe wanajeshi.

Hii ni kutokana kwamba wanajeshi wameonesha kufanya kazi vizuri katika sehemu nyingi wanazosimamia ikiwemo uRC, uDC,uRAS,nk.

Naomba kuwasilisha
He tuambie Taasisi moja ambayo amepewa mwanajeshi inayofanya vizuri
 
Habarini,
Kutokana na ubabaishaji wa wakurugenzi wanaoteuliwa na Rais kuwa wababaishaji napendekeza wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe wanajeshi.

Hii ni kutokana kwamba wanajeshi wameonesha kufanya kazi vizuri katika sehemu nyingi wanazosimamia ikiwemo uRC, uDC,uRAS,nk.

Naomba kuwasilisha
Tuwe na mipaka kulihusisha jeshi na siasa na majukumu ya kiutawala ya kiraia
 
Andiko lako halina logic , unashindwa kutarget shida za wakurugenzi linapoanzia unakimbilia km 50

Shida ya hizi nafasi ni kupeana , hizi nafasi zinatakiwa kutangazwa na watu waombe lazima utapata watu smart.
 
Too much availability reduces importance
 
Ma RC na ma DC wengi ni wanajeshi (wastaafu) tena walikuwa na vyeo vya juu jeshini, lakini huko nako mbona hakupoi? Tatizo ukishanyweshwa maji ya kijani lazima ugeuke kuwa senene
 
Tuwe na mipaka kulihusisha jeshi na siasa na majukumu ya kiutawala ya kiraia
Umewahi kufanyakazi jeshini au unaropoka tu,nasema hivyo nikiwa na uzoefu jeshini na kufanyakazi na wanapropaganda wa kitengo cha siasa jeshini
 
Tunakoelekea wasiwe na shaka, wawe na subira muda utafika Jeshi litachukua nchi na wataunda mfumo wao wa utawala kama sio uongozi.
 
Kam
Andiko lako halina logic , unashindwa kutarget shida za wakurugenzi linapoanzia unakimbilia km 50

Shida ya hizi nafasi ni kupeana , hizi nafasi zinatakiwa kutangazwa na watu waombe lazima utapata watu smart.
[/QUOTE

Usinifundishe nini cha kuandika K wewe weka uzi wako useme unachotaka wewe
 
Kuna utekaji na watekaji,
Na bado mnawapa sifa "jeshi la wananchi"
wote ni wale wale.
 
kwahiyo wewe unaamini kabisa kuwa mtu akiwa mwanajeshi anakuwa siio mbabaishaji? Unasikitisha sana
 
Habarini,
Kutokana na ubabaishaji wa wakurugenzi wanaoteuliwa na Rais kuwa wababaishaji napendekeza wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe wanajeshi.

Hii ni kutokana kwamba wanajeshi wameonesha kufanya kazi vizuri katika sehemu nyingi wanazosimamia ikiwemo uRC, uDC,uRAS,nk.

Naomba kuwasilisha
DED ni mtumishi wa umma mwandamizi.

Hata hili la kuteua makada wa CCM kuwa wakurugenzi ni UJUHA tu.

Huwezi kuokota tu kitoto cha kigogo, kinakuja kuwa Mkurugenzi hakijui hata taratibu za utumishi, halafu unategemea kije kusimamia watu waliofanya kazi kwa miaka 25.
 
kwahiyo wewe unaamini kabisa kuwa mtu akiwa mwanajeshi anakuwa siio mbabaishaji? Unasikitisha sana
Aaliaminishwa na magu ila wavute picha yule wa MSD wale ni watu kama kombo na mama suma kwenye wimbo wa zuchu
 
Back
Top Bottom