HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
He tuambie Taasisi moja ambayo amepewa mwanajeshi inayofanya vizuriHabarini,
Kutokana na ubabaishaji wa wakurugenzi wanaoteuliwa na Rais kuwa wababaishaji napendekeza wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe wanajeshi.
Hii ni kutokana kwamba wanajeshi wameonesha kufanya kazi vizuri katika sehemu nyingi wanazosimamia ikiwemo uRC, uDC,uRAS,nk.
Naomba kuwasilisha
Tuwe na mipaka kulihusisha jeshi na siasa na majukumu ya kiutawala ya kiraiaHabarini,
Kutokana na ubabaishaji wa wakurugenzi wanaoteuliwa na Rais kuwa wababaishaji napendekeza wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe wanajeshi.
Hii ni kutokana kwamba wanajeshi wameonesha kufanya kazi vizuri katika sehemu nyingi wanazosimamia ikiwemo uRC, uDC,uRAS,nk.
Naomba kuwasilisha
Andiko lako halina logic , unashindwa kutarget shida za wakurugenzi linapoanzia unakimbilia km 50Habarini,
Kutokana na ubabaishaji wa wakurugenzi wanaoteuliwa na Rais kuwa wababaishaji napendekeza wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe wanajeshi.
Hii ni kutokana kwamba wanajeshi wameonesha kufanya kazi vizuri katika sehemu nyingi wanazosimamia ikiwemo uRC, uDC,uRAS,nk.
Naomba kuwasilisha
Too much availability reduces importanceHabarini,
Kutokana na ubabaishaji wa wakurugenzi wanaoteuliwa na Rais kuwa wababaishaji napendekeza wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe wanajeshi.
Hii ni kutokana kwamba wanajeshi wameonesha kufanya kazi vizuri katika sehemu nyingi wanazosimamia ikiwemo uRC, uDC,uRAS,nk.
Naomba kuwasilisha
Umewahi kufanyakazi jeshini au unaropoka tu,nasema hivyo nikiwa na uzoefu jeshini na kufanyakazi na wanapropaganda wa kitengo cha siasa jeshiniTuwe na mipaka kulihusisha jeshi na siasa na majukumu ya kiutawala ya kiraia
Andiko lako halina logic , unashindwa kutarget shida za wakurugenzi linapoanzia unakimbilia km 50
Shida ya hizi nafasi ni kupeana , hizi nafasi zinatakiwa kutangazwa na watu waombe lazima utapata watu smart.
[/QUOTE
Usinifundishe nini cha kuandika K wewe weka uzi wako useme unachotaka wewe
DED ni mtumishi wa umma mwandamizi.Habarini,
Kutokana na ubabaishaji wa wakurugenzi wanaoteuliwa na Rais kuwa wababaishaji napendekeza wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe wanajeshi.
Hii ni kutokana kwamba wanajeshi wameonesha kufanya kazi vizuri katika sehemu nyingi wanazosimamia ikiwemo uRC, uDC,uRAS,nk.
Naomba kuwasilisha
Aaliaminishwa na magu ila wavute picha yule wa MSD wale ni watu kama kombo na mama suma kwenye wimbo wa zuchukwahiyo wewe unaamini kabisa kuwa mtu akiwa mwanajeshi anakuwa siio mbabaishaji? Unasikitisha sana