johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbeya vijijini wataelekea wapi Mkuu? Iwalanje? Igawilo? Nsalaga? Songwe au wapi?Hii tabia ilikuwa imeita mizizi ,siku fulani kabla ya rais kutoa agizo hilo tulikuwa kwenye ukaguzi wa miradi ya barabara inayowahusu sumbawanga vijijini sasa nikiwa kwenye gari nikatoa hoja kwamba inakuaje sumbawanga DC wako mjini wakati inahudumia vijijini? Nikawaambia ilifaa wahamie Laela ili kusogeza huduma kwa wananchi na kutoa fursa ya mji wa Laela kukua
Basi wakani crash wee,kama niliota vile punde Rais alipokuja akatoa agizo kama nilivyokuwa nawaza,nikaishia kuwacheka huko whatsup baada ya kuumbuka.Nashukuru Rais ameifanya kuwa amri ya nchi nzima na halmashauri 31 zinahusika
Mbalizi iko Mbeya vijijini lakini hilo litategemea madiwani wenye halmashauri watakavyoamua na kupendekezaMbeya vijijini wataelekea wapi Mkuu? Iwalanje? Igawilo? Nsalaga? Songwe au wapi?
Mbeya vijijini wataelekea wapi Mkuu? Iwalanje? Igawilo? Nsalaga? Songwe au wapi?
Wanahamia mbalizi unamlazimishaje mtumishi akakae mbalizi ilihali nyumba Yake ipo iwambiHii ya Mbeya ni safi sana. Nilikuwa nashangaa sana inakuwaje halmashauri ya Mbeya vijijini ipo katikati ya mji wa mbeya karibu kabisa na halmashauri ya jiji la Mbeya. Kama itaendelea kuwa hivyo, hakuna maana ya kuwa na halmashauri hiyo. Tutakuwa hatujapeleka huduma karibu na wananchi. Sijui watakuwa wameelekea wapi?
Saa hizi watakuwa wanahamisha samani za ofisini!Hii ya Mbeya ni safi sana. Nilikuwa nashangaa sana inakuwaje halmashauri ya Mbeya vijijini ipo katikati ya mji wa mbeya karibu kabisa na halmashauri ya jiji la Mbeya. Kama itaendelea kuwa hivyo, hakuna maana ya kuwa na halmashauri hiyo. Tutakuwa hatujapeleka huduma karibu na wananchi. Sijui watakuwa wameelekea wapi?
Lindi vijijini inahamia Mtama na Iringa vijijini inahamia Kalenga!Hii tabia ilikuwa imeita mizizi ,siku fulani kabla ya rais kutoa agizo hilo tulikuwa kwenye ukaguzi wa miradi ya barabara inayowahusu sumbawanga vijijini sasa nikiwa kwenye gari nikatoa hoja kwamba inakuaje sumbawanga DC wako mjini wakati inahudumia vijijini? Nikawaambia ilifaa wahamie Laela ili kusogeza huduma kwa wananchi na kutoa fursa ya mji wa Laela kukua
Basi wakani crash wee,kama niliota vile punde Rais alipokuja akatoa agizo kama nilivyokuwa nawaza,nikaishia kuwacheka huko whatsup baada ya kuumbuka.Nashukuru Rais ameifanya kuwa amri ya nchi nzima na halmashauri 31 zinahusika
Hii ya Mbeya ni safi sana. Nilikuwa nashangaa sana inakuwaje halmashauri ya Mbeya vijijini ipo katikati ya mji wa mbeya karibu kabisa na halmashauri ya jiji la Mbeya. Kama itaendelea kuwa hivyo, hakuna maana ya kuwa na halmashauri hiyo. Tutakuwa hatujapeleka huduma karibu na wananchi. Sijui watakuwa wameelekea wapi?
Mbeya vijijini wataelekea wapi Mkuu? Iwalanje? Igawilo? Nsalaga? Songwe au wapi?
Mkoa wa Pwani ndio Funga Kazi makao makuu ya mkoa yako kibaha mtu wa wilaya ya rufiji au mkuranga akitaka kwenda makao makuu ya mkoa lazima apitie mkoa wa dar es salaam aumalize ndipo afike makao makuu ya mkoa wakemkuu kwa jinsi wilaya ya mbeya vijijini ilivyo kigeographia sijui watahamia wapi!!!...... wakihamia mbalizi imagine mtu wa igoma &ifupa atahudumiwa vp?...... yan hii wilaya waliigawa kipumbavu kabisa
Igoma ni jirani sana,nyingi ya halmashauri za vijijini huwa zinazunguka jiji au mji sasa kiuhalisia huwa kunakuwa na changamoto kidogo kwa baadhi ya maeneo kuwa mbali sanamkuu kwa jinsi wilaya ya mbeya vijijini ilivyo kigeographia sijui watahamia wapi!!!...... wakihamia mbalizi imagine mtu wa igoma &ifupa atahudumiwa vp?...... yan hii wilaya waliigawa kipumbavu kabisa