Tetesi: Wakurugenzi wa Sky Associates wako mikononi mwa polisi

Wewe nafikiri umechanganyikiwa! Tume ya Bunge ndiyo iliyochunguza nakuona hayo matatizo sasa serikali inapochukua hatua mapendekezo ya bunge unasema matatizo ni ya Mh. Rais Magufuli?? Hivi wewe ni kupinga kila kitu tu?? Tukuamini kweli wewe??
Kuna watu wanatumia viungo tofauti kufikiri...achana naye
 
Kwani TRA haiwezi kudanganywa?
 
Kuna mengi sana hpo tanzaniteone ila uwizi upo toka enzi ya mzungu istoshe hawa sky wamepakua mzigo wa kutosha cnc wamechukua kampuni.....stamico nao wahusika kuanzia mkurugenzi wao

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hao sky wamenunua mgodi ili wapate madin na madini yote yanayopatikana hapo ni ya kwao mkuu sasa ulitaka wakishapakua mzigo wakupe wewe? ..........hata kama wamepata tani 100000 ni za kwao mkuu............wakina Sunda nao si wana migodi ina maana hawapakui mizigo /
 
Majizi yote maarufu yako huko Arusha
 
We live once.

Tunakubaliana na jambo moja tu!
Ukifa ndio utaonana na aliyekufanya uwe hai!

yes, ukifa wengine wanazaliwa na nchi inaenda! au ulkitaka ukifa wewe au mimi iwe ndio mwishgo wa dunia?

Nchi zilizoendelea pamoja na utajiri mkubwa walionao lakini hawapumziki kutafuta mali na kutunza walioz nazo...unajua ni kwanini? Jibu ni moja tu, kuwa wamefundishwa kutafuta mali kwa ajili ya wajukuu wa wajukuu wasio wafahamu....tofauti na sisi ambao tunakula urithi wa wajukuu zetu, ili wao wakija wasikute hata kitu kunaitwa faru au almasi!
 
Niseme wazi bila kificho!

Magufuli hajui anachofanya!

Kama kweli tulimchagua basi tulimkosea MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.

Tunatubu kwa kosa hili tunaomba atusamehe na kutufanyia wepesi.

Yupo wakati wa pili si vibaya kughairi.
uchizi si lazima uokote makopo barabarani,toa sabb vinginevyo utakuwa ni mmojwapo wa vyeti feki kwa iyo tulia tu dawa ikuingie taratiiibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinga lao, serikali haijawahi shinda kesi hata moja ya mahakama za kimataifa. This will also follow the suit! You are moved by emotions and cheap popularity
Mwanasheria wa Wizara ya Madini kwa muda wa miaka ishirini mbona haguswi?
 
Kwani ulipozaliwa uliagana na hao waliokuzaa kwa vitu walivyokupa?
Kana kwamba wametengenezewa na watangulizi wao?

Ingekuwa hivyo misitu ingekuwa ipo ya kutosha.

Vifaru na tembo wangekuwepo kama zamani.
 
Jamani ninyi eleweni kuwa kamati zote zimekuwa zikipotoshwa na Sam Mollel ambaye ni mchimbaji mdogo na mwenyekiti wa Tamida lkn yeye ndo mchimbaji haramu na mkwepa kodi mkubwa. Hebu muulizeni amelipa kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sky associates imeajiri watu zaidi ya watu 800 na wameshalipa zaidi ya billion 14 hawa wachimbaji wengine wanalipa kiasi gan na wanaboresha huduma gani za jamii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…