laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
sio hao tu Mererani kuna migodi mingi sana mingine ya wazawa wakina Mengi. Sunda . Money hakuna hata mgodi mmoja mererani wenye ofisi wala board of directors!...........Tena afadhali hao Sky associates wanawalipa wachimbaji wao mishahara migodi mingine hawawalipi hata mia wachimbaji wao zaidi ya kuwapa UGALI, MAHARAGE NA DAGGAA.Ni kweli mkuu, unajua ukiwachukulia kijuu juu unaweza ukasema serikali imewaonea hawa jamaa. Lakini kiukweli serikali ilichelewa kuchukuwa maamuzi. Watu hawana address wala ofisi, hawana board of directors hapa bongo wala huko walipo. Anaye watetea aingie search engine yoyote unayunayoijua wewe atuletee address pamoja na board of directors wa Sky associate + tanzaniteone & Stamico Mining Ltd. Ukitoa migodi ilipo, ofisi zao Tanzaniteone mining Ltd zipo wapi hapa Tanzania?