Tetesi: Wakurugenzi wa Sky Associates wako mikononi mwa polisi

Tetesi: Wakurugenzi wa Sky Associates wako mikononi mwa polisi

Jinga lao, serikali haijawahi shinda kesi hata moja ya mahakama za kimataifa. This will also follow the suit! You are moved by emotions and cheap popularity
Haijawahi kipindi kile cha Rais mwingine
 
Sasa kama CCTV zinaona wizi wa tanzanite,kwanini zisione waliotaka kumuua Lisu,na tukio lilitokea kenye nyumba za mawaziri ???,hizi CCTV ni kwa Mali za magufuli tu ?hazilindi makazi ya mawaziri wake ! Alafu policcm wanasema mwananchi mwenye taarifa ya hili tukio awaeleze polisi !!! Jamani nchi ina ma abunuwasi hii kufuru.hao mawaziri watapona kama makazi yao ndo uwanja wa mauwaji ya wapinzani ? Hapo mtu atakosa kuwa na wazo alilosema nape ?Mungu tegua hiki kitendawili Wewe.hapa watasingiziwa wangonge,hasa wapinzani wanaoitwa na policcm sasahivi.jaribio hili halikwenda lilivyokusudiwa,sasa hasira inawashukia watu wengine kabisa ili kuokoa jahazi.niwakati wakukazania na mataifa mengine yatusaidie upelelezi wa hili ili kunusuru wananchi na hasira toka juu kuishia kwa wanyonge,au kuuwawa polisiccm wakidai ni wahusika walikua wakikimbia ! .Mungu dhihirika katika hili,kama ulivyo dhihirika katika uhai wa Lisu, Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazungumzo ya Accacia yamefika wapi!?? Naona tunaenda speed ya mwanga
 
Kumkamata tembo lazima ujipange siyo kama kukamata kuku.
 
Niseme wazi bila kificho!

Magufuli hajui anachofanya!

Kama kweli tulimchagua basi tulimkosea MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.

Tunatubu kwa kosa hili tunaomba atusamehe na kutufanyia wepesi.

Yupo wakati wa pili si vibaya kughairi.
mama ako ndo anajua anachofanya? jinga kabisa ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niseme wazi bila kificho!

Magufuli hajui anachofanya!

Kama kweli tulimchagua basi tulimkosea MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.

Tunatubu kwa kosa hili tunaomba atusamehe na kutufanyia wepesi.

Yupo wakati wa pili si vibaya kughairi.

Kwa hiyo wewe una taarifa nyingi kuliko rais wa nchi? Kwa vyanzo gani ulivyo navyo? Nakubali unaweza kuwa na toafuti na Magufuli, lakini tenganisha Magufuli, na kiti anachokalia. Kwa nafasi yake ana uwezo wa kupata taarifa nyingi na kinachooendelea sasa ni UTHUBUTU wa kuzifanyia kazi hizo taarifa tofuati na kipindi cha nyuma.
 
Watajuta muda si mrefu

Na hata almas,mwadui,huko ndiko kina majuto makuu ambayo yataleta Kilimo kikuu kwa taifa
Akili hizi sizipendi. Rasilimali zetu zinaibiwa viongozi wanachukua hatua then wewe unaongea as if sio Mtanzania. Kwahiyo tamaa yako ni ipi ktk sakata la kuibiwa Mali zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bora wamekamatwa CCM imetusababishia hasara sana taifa hili.

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
Niseme wazi bila kificho!

Magufuli hajui anachofanya!

Kama kweli tulimchagua basi tulimkosea MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.

Tunatubu kwa kosa hili tunaomba atusamehe na kutufanyia wepesi.

Yupo wakati wa pili si vibaya kughairi.
Pole sana kwa kukatiwa mrija

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sizonje hana kiwango cha kupambana na wafanyabiashara kutoka nje, yeye na wasaidizi wake hawana akili nyingi. level zake ni wamachinga, kina manji, watumishi wa uma nk. Next time chagueni watu wenye akili nyingi bana!!!
 
Hii vita na canada wapigane wenyewe

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Niseme wazi bila kificho!

Magufuli hajui anachofanya!

Kama kweli tulimchagua basi tulimkosea MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.

Tunatubu kwa kosa hili tunaomba atusamehe na kutufanyia wepesi.

Yupo wakati wa pili si vibaya kughairi.
Hovyooooooo, na inaonekana mimba yako ilitungwa kilabuni wazazi wako wakipata ulabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sizonje hana kiwango cha kupambana na wafanyabiashara kutoka nje, yeye na wasaidizi wake hawana akili nyingi. level zake ni wamachinga, kina manji, watumishi wa uma nk. Next time chagueni watu wenye akili nyingi bana!!!
wako watendaji wenye uwezo huo...kazi ya Magufuli ni kuwawezesha wafanye kazi yao vizuri
 
Kuna tetesi zimezagaa mtaani kuwa wakurugenzi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite inayoitwa Sky Associates wako mikononi mwa polisi.
Ndugu Faisal shabhati na ndugu Hussein Gonga wanasemekana kudakwa na polisi maeneo ya burka Arusha.

Tusubiri updates!
hao si mapandikizi ya Rizomoko

naona mmeamua kuwarudisha mlikowatoa baada kumaliza mishen
 
Back
Top Bottom