Tetesi: Wakurugenzi wa Sky Associates wako mikononi mwa polisi

Nakumbuka kuwa kamati ya bunge ya Mhe Zungu iligusia kuwa kuna kiongozi alipewa zawadi ya almasi za thamani ya dola za Kimarekani 200 (tshs 448 bilioni). Ni imani yetu kuwa ataagizwa au kuombwa arudishe fedha zetu. Inshallah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCTV Camera zimewaonesha wakitorosha mizigo mikubwa ya Tanzanite kwa wizi.

Maandishi yao yanaonesha tokea mwaka 2014 wamezalisha kilo 13 pekee za Tanzanite.

Wamekamatwa ili kuisaidia Serikali kupata ukweli wa hizo picha za cctv na kilo 13.
Ni wachimba wadogo ndiyo wamezalisha hizo hizo kilo 13, wao wanamakosa ya huo wizi wanaonekana kwenye cctv, pia taarifa zao za uzalishaji zinamkanganyiko, kuna tani kadhaa hazijulikinani zilipita wapi. Lakini zinaonekana zilitoka mgodini, kosa lao lengine kampuni haijasajiliwa bongo, kiukweli hawa jamaa hawana hata ofisi ambayo unaweza kusema ni makao makuu ya kampuni. Hawa ni zaidi ya wahuni, naimani hii kesi hata ukimpa second year wa sheria asimame upande wa serikal, serikali inashinda asubuhi kweupeee. Kiukweli serikali ilichelewa kufanya maamuzi kwa hawa wahuni.
 
wako watendaji wenye uwezo huo...kazi ya Magufuli ni kuwawezesha wafanye kazi yao vizuri
Basi hao watendaji wamekua traumatised na hofu, ni kama vile hawako huru kutumia huo uwezo wao kwa kuhofia "itakuaje nikikosea?"
 
Niseme wazi bila kificho!

Magufuli hajui anachofanya!

Kama kweli tulimchagua basi tulimkosea MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.

Tunatubu kwa kosa hili tunaomba atusamehe na kutufanyia wepesi.

Yupo wakati wa pili si vibaya kughairi.
Mkuu nakubaliana na wewe 100%

Ila Mungu atasimama...

Kama alivyosimama kwa Lissu.
 
Kwa hao waliokamatwa mpaka sasa wapo kama 10 hivi, ukichunguza account + mali zao binafsi kuanzia tarehe walioajiliwa au wakurugenzi kuanzia siku walionunu kampuni, ndiyo utajua hawa watu wamevuna kwa kiasi gani.
 
Kuna tetesi zimezagaa mtaani kuwa wakurugenzi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite inayoitwa Sky Associates wako mikononi mwa polisi.
Ndugu Faisal shabhati na ndugu Hussein Gonga wanasemekana kudakwa na polisi maeneo ya burka Arusha.

Tusubiri updates!
Hao ndio wenye hiyo kampuni? Maana hapa bongo maboya yamezidi. Wenye makampuni yanayonunua mgodi kama ule kwa mwendo wa kuringa bila msaada wa ndani wa wana siasa ni ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCTV Camera zimewaonesha wakitorosha mizigo mikubwa ya Tanzanite kwa wizi.

Maandishi yao yanaonesha tokea mwaka 2014 wamezalisha kilo 13 pekee za Tanzanite.

Wamekamatwa ili kuisaidia Serikali kupata ukweli wa hizo picha za cctv na kilo 13.
cctv camera za wapi? Airport ile kampuni madini yalishaisha muda mrefu tu wamepunguza wafanyakazi wengi sana hakuna kitu tena pale
 
bora wamekamatwa CCM imetusababishia hasara sana taifa hili.

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
Sio CCM BALI NI RAIA WA KAWAIDA WALIOSHIRIKIANA NA BAADHI YA WANACCM
 
Nakumbuka kuwa kamati ya bunge ya Mhe Zungu iligusia kuwa kuna kiongozi alipewa zawadi ya almasi za thamani ya dola za Kimarekani 200 (tshs 448 bilioni). Ni imani yetu kuwa ataagizwa au kuombwa arudishe fedha zetu. Inshallah

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo zawadi inawezekana ilitolewa kwa goverment operative na akaiwasilisha kwa serikali...Tanzania ni nchi makini katika ujasusi!
 
cctv camera za wapi? Airport ile kampuni madini yalishaisha muda mrefu tu wamepunguza wafanyakazi wengi sana hakuna kitu tena pale
Nakuunga mkono kama yuko serious tuanze na mafuta na gesi kusubiri miaka ipite tuanze tena lalamika
 
Ni wachimba wadogo ndiyo wamezalisha hizo hizo kilo 13, wao wanamakosa ya huo wizi wanaonekana kwenye cctv, pia taarifa zao za uzalishaji zinamkanganyiko, kuna tani kadhaa hazijulikinani zilipita wapi. Lakini zinaonekana zilitoka mgodini, kosa lao lengine kampuni haijasajiliwa bongo, kiukweli hawa jamaa hawana hata ofisi ambayo unaweza kusema ni makao makuu ya kampuni. Hawa ni zaidi ya wahuni, naimani hii kesi hata ukimpa second year wa sheria asimame upande wa serikal, serikali inashinda asubuhi kweupeee. Kiukweli serikali ilichelewa kufanya maamuzi kwa hawa wahuni.
hivi unajua tani ya tanzanite wewe? hiyo kampuni ni ya nje hao wa kina Gonga ni shareholders tu tea hisa zao ni ndogo sana
 
Niseme wazi bila kificho!

Magufuli hajui anachofanya!

Kama kweli tulimchagua basi tulimkosea MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.
Aisee, kisha tumchague Lissu kutuongoza.

Tunatubu kwa kosa hili tunaomba atusamehe na kutufanyia wepesi.

Yupo wakati wa pili si vibaya kughairi.
Wabongo kuna mahali tujiulize wapi tulikwama.
 
Kuna tetesi zimezagaa mtaani kuwa wakurugenzi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite inayoitwa Sky Associates wako mikononi mwa polisi.
Ndugu Faisal shabhati na ndugu Hussein Gonga wanasemekana kudakwa na polisi maeneo ya burka Arusha.

Tusubiri updates!
hawa ndiyo waliopewa tanzanite one company baada ya kaburu kumaliza muda wake wa mkataba
 
Back
Top Bottom