Albert Msando
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,019
- 171
Wakurugenzi watatu, Irenei Kiria (SIKIKA), Francis Kiwanga (LHRC) na Emanuel Massawe (LEAT) wamefanikiwa kufile zuio/objection kupinga kulipwa Dowans.
Taarifa za kuaminika ni kwamba kesi hiyo imeshapangiwa Jaji.
Wito unatolewa kwa wananchi wote kuhakikisha kila siku kesi hiyo ikitajwa wananchi wote wanajitokeza mahakamani kuonyesha nia yao na umoja wao kupinga tuzo hiyo.
Hivi hapa hili suala la locus standi linakuwaje?
Kumsaidia nani? Dowans au wana harakati?Vipi Werema hajajitolea kuwasaidia?
Caps kadhaa zikiongozwa na Article 27 ya Constitution
Unaweza kutujuza ni caps zipi zinaweza kutumika?
itakuwa vyema sana kama Mwanakijiji atafanikiwa kutuwekea humu jamvini hayo yaliyopelekwa mahakamani!!
Hii itatupa nafasi wengine kutoa michango yetu
Wakurugenzi watatu, Irenei Kiria (SIKIKA), Francis Kiwanga (LHRC) na Emanuel Massawe (LEAT) wamefanikiwa kufile zuio/objection kupinga kulipwa Dowans.
Taarifa za kuaminika ni kwamba kesi hiyo imeshapangiwa Jaji.
Wito unatolewa kwa wananchi wote kuhakikisha kila siku kesi hiyo ikitajwa wananchi wote wanajitokeza mahakamani kuonyesha nia yao na umoja wao kupinga tuzo hiyo.
Wakurugenzi watatu, Irenei Kiria (SIKIKA), Francis Kiwanga (LHRC) na Emanuel Massawe (LEAT) wamefanikiwa kufile zuio/objection kupinga kulipwa Dowans.
Taarifa za kuaminika ni kwamba kesi hiyo imeshapangiwa Jaji.
Wito unatolewa kwa wananchi wote kuhakikisha kila siku kesi hiyo ikitajwa wananchi wote wanajitokeza mahakamani kuonyesha nia yao na umoja wao kupinga tuzo hiyo.
Yote haya yakiendelea TANESCO wenyewe wako kimya!