Gurudumu
JF-Expert Member
- Feb 5, 2008
- 2,349
- 264
tuwekee copy za petittion ikwezekana mkuu
i have tried to inquire with DR. Sengoro Mvungi who is the lead counsel in this matter ameshauri tusibandike kwa sasa. lakini anajaribu kuwasiliana na baadhi ya watu kuonna kama anaweza kupata clearance ya kuruhusu ibandikwe hapa.
alternatively, ameshauri kama kuna mwanasheria anayependa kusaidia mawazo ni vizuri akiwasiliana naye kwa kuwa hii ni vita ya wananchi wote na wala siyo ya wateja wake tu hao waliowasilisha hilo pingamizi.