Tetesi: Wakurugenzi wapewa zawadi na CCM kwa kuwasaidia kushinda uchaguzi wa madiwani

Tetesi: Wakurugenzi wapewa zawadi na CCM kwa kuwasaidia kushinda uchaguzi wa madiwani

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
IMG-20171129-WA0037.jpg
Ndo mjue huu ushindi wa kata 42 waliopiga kura na kushinda ni polisi chini ya uangalizi wa ccm, NEC kusaidia kukandamiza haki za wengi na wakurugenzi kutangaza matokeo huku upinzani wakitekwa na kuitwa wavunjifu wa amani na NEC ikibariki kiwa uchaguzi ulikuwa huru na haki.

Ndo itambulike kuwa uchaguzi huru na haki ni ndoto.
 

Attachments

  • IMG-20171129-WA0037.jpg
    IMG-20171129-WA0037.jpg
    63.6 KB · Views: 93
Hi Ni Mbegu Mbya Ya Chuki Inayopandikizwa Nchni Ipo Siku Itamea Nakuchanua Vizuri,athar Yakei Itakuwakubwa Kuliko Hi Ya Leo,,muda Utasema
 
Hivi hao wakurugenzi ambao ni watumishi wa umma, iwapo walikuwa kazini kutimiza wajibu wao kwa mujibu wa sheria za kazi wanapewaje pongezi kwa CCM kushinda?
 
2020 wataiba kura vituo vingapi,mana wasiojulikana mziki utawashinda ujinga una mwisho mbaya
 
Mihimili mitatu - Serikali , bunge na mahakama - hii ikijichanganya au kama haijatawanywa vyema ndio chanzo cha matatizo yote ya kisiasa
 
Ndio maana huwa nasema hawa jamaa Mungu kawanyima maarifa ndio maanna wanafanya mambo ya ajabu kama haya.
Sasa inakuwaje nyinyi Chadema mnashindwa na chama chenye watu walionyimwa maarifa!???
 
Hizo karatasi zinatengenezwa popote pale, watu wanafoji mpaka muhuri wa Ikulu sembuse karatasi za ccm
 
Jana Kikwete Junior kasema hii mbegu tuliyoipanda ipo siku utaota na mti wenyewe ni mbuyu afu hauna panga Wala shoka, una kisu Cha kwenye nail cutter
 
Nilifikiri kazi ya mkurugenzi ni kusimamia lakini hapa wanapongezwa kwa kufanikisha, kama ni kweli basi tumefika pabaya.
 
Hii ndio CCM inayowafanya kina Kafulila,Masha,Katambi na wengine kurudi/kuhamia CCM.Aibu sana!
 
Hicho cheti hakina jina la huyo mkurugenz. Au ndio vilivyo?
 
Back
Top Bottom