Tetesi: Wakurugenzi wapewa zawadi na CCM kwa kuwasaidia kushinda uchaguzi wa madiwani

Tetesi: Wakurugenzi wapewa zawadi na CCM kwa kuwasaidia kushinda uchaguzi wa madiwani

Badala ya kuwashukuru wapiga kura mnawashukuru wakurugenzi..... kweli huu ushindi haramu.
 
Na nyie acheni kulalamika. Fwateni ushauri murua wa Nyani ngabu vinginevyo tumechoka. Ukizingatia kuna vijana wanaumizwa for nothing huku viongoz wapowapo tu
 
Si vyema akina Mbowe na Lema wakaingia katika mtego wa kuichukulia hii kadi kama evidence ya mchezo mchafu, huenda hii kadi imetengenezwa makusudi na watu wa Propaganda wa CCM ili akina Lema waingie kichwakichwa kuibeba halafu wawe Proved wrong kiurahisi. Na wakishakuwa kuwa proved wrong wataonekana waongo, wazandiki na umma utawapuuza madai yao juu ya uchaguzi wa madiwani uliopita!.

Nasema hivi kwa sababu Mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Tunduru ndugu Abdallah Musa alitumbuliwa tarehe 10/11/2017, na sijui kama ameshatangazwa mwingine.

Kabla ya kukurupuka na kuamini hicho cheti ni vyema kujiridhisha kama kweli ni authentic au mtego wa wanapropaganda ili uingie kichwakichwa wakusukumizie shutuma za uongo, ulaghai na uzushi ili kukushushia credibility mbele ya umma
 
View attachment 640728 Ndo mjue huu ushindi wa kata 42 waliopiga kura na kushinda ni polisi chini ya uangalizi wa ccm, NEC kusaidia kukandamiza haki za wengi na wakurugenzi kutangaza matokeo huku upinzani wakitekwa na kuitwa wavunjifu wa amani na NEC ikibariki kiwa uchaguzi ulikuwa huru na haki.

Ndo itambulike kuwa uchaguzi huru na haki ni ndoto.
CCM na viongozi wao wapumbavu sana hakika!
 
Stori huwa haziishi, Lowasa si anapesa mbona hajaonga nae, peleka matapishi yako shimonii
 
View attachment 640728 Ndo mjue huu ushindi wa kata 42 waliopiga kura na kushinda ni polisi chini ya uangalizi wa ccm, NEC kusaidia kukandamiza haki za wengi na wakurugenzi kutangaza matokeo huku upinzani wakitekwa na kuitwa wavunjifu wa amani na NEC ikibariki kiwa uchaguzi ulikuwa huru na haki.

Ndo itambulike kuwa uchaguzi huru na haki ni ndoto.
Hiki cheti hata wewe unaweza ukakitengeneza kwa kuhalalisha propaganda zako
 
MKUU KAMA MAHAKAMA INADHARAULIWA UNADHANI TUTAENDA KUSEMEA WAPI TENA? BUNGE LIMEDHARAU MAHAKAMA, TANROADS ILIDHARAU MAHAKAMA. HAKUNA HAKI TENA MKUU, CHAMA DOLA KIPO KAZN
 
View attachment 640728 Ndo mjue huu ushindi wa kata 42 waliopiga kura na kushinda ni polisi chini ya uangalizi wa ccm, NEC kusaidia kukandamiza haki za wengi na wakurugenzi kutangaza matokeo huku upinzani wakitekwa na kuitwa wavunjifu wa amani na NEC ikibariki kiwa uchaguzi ulikuwa huru na haki.

Ndo itambulike kuwa uchaguzi huru na haki ni ndoto.
Photoshop imekugomea. umejitahidi sana bahati mbaya MHURI Umekuangusha, rudi tena darasani ili siku nyingine utafanya vizuri zaidi.
 
IMG-20171130-WA0066.jpg
 
CCM wahi huku kuna swali linahitaji majibu
 
Uzi huu umfikie Mamluki Kailima akiwakilisha chama chake cha ccm kwenye ofisi za Tume ya uchaguzi .

Mara zote tumeyasema haya lakini wanaona kama hatuna akili , sasa aibu hii wataipeleka wapi ?
 
Imekaa poa sana kimkakati...chadema wamelala tu fofofofo...vijana wao wapo jela hata kuwajulia hali hamna mwenyekiti anakula bata tu na wema sepetu...lazima vijana wa bavicha wasepe msingizie wamenunuliwa...hata demu wako uspomjali lazima aamshe popo
images (2).jpg
images (1).jpg
 
Imekaa poa sana kimkakati...chadema wamelala tu fofofofo...vijana wao wapo jela hata kuwajulia hali hamna mwenyekiti anakula bata tu na wema sepetu...lazima vijana wa bavicha wasepe msingizie wamenunuliwa...hata demu wako uspomjali lazima aamshe popo
View attachment 641047 View attachment 641048

This is just too low an opinion.....completely unrelated to the thread!
 
Leo kwa Wapinzani ,wakisha malizwa watageukiwa na wao .
Mku huku ndani sio wamoja ndo maana hii certificate tumeipata huku huwa wanabisha lakini mm humu ndani najua makundi ni mengi ya Ukanda na ya huu uchaguzi wa ndani uliopita haujatuacha salama watu pa kuongelea hakuna mambo sio tunajifariji.
 
Back
Top Bottom