Tetesi: Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri zote Tanzania bara wapo visiwani Zanzibar

Tetesi: Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri zote Tanzania bara wapo visiwani Zanzibar

Halafu tunasema tuna vyombo vya ulinzi vyenye kusema kulinda katiba
 
Zanzibar ni Msumbiji? Punguza wivu. Hakuna sheria inayolazimisha vikao vifanyikie Dodoma peke yake kama vile ni kikao cha bunge.
 
Kulikoni huko visiwani?

Wakurugenzi Watendaji (DED’s) wa halmashauri zote za hapa Tanzania Bara wapo Zanzibar kwa kikao kazi.

Kwanini Dodoma haitumiki tena? Gharama hizo nani anagharamia?
Kodi zenu zinafanya kazi. Au ulitaka wajigharamie wenyewe?
Acha uchochezi.
 
Halafu tunasema tuna vyombo vya ulinzi vyenye kusema kulinda katiba
Seminar ya uongozi ikifanyika ngurdoto Arusha ni sawa, ikifanyika Zanzibar si sawa,hivi nyinyi mna ubongo vichwani au samadi!?
 
Back
Top Bottom