Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,715
- 2,385
Acha kuwaweka wakurya kwenye mambo ya kijinga wwwwWakurya watatu wakiwa kwenye daladala...
Mkurya wa kwanza.. "dereva sukisa mimi hapa..
Mkurya wa pili... "inaonekana una chinda ya maneno dugu"...
Mkurya wa tatu.. Huku akicheka "wewe bana jeka mwenzako nyi wote mna chinda ya kubronounce..!!!
😀😀😀😀