Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
Akili nayo mzigo kwahy kila mtu akiwa anajichukulia sheria mkononi kuna atakaebaki duniani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuombe radhi wakunyumba, tafadhari.Kweli huko ukuriani ni habari nyingine.
Sasa kuna jamaa zangu huko ungonini. Niliposoma ushujaa wa wangoni au wanguni (sijui tofauti yake) nilitegemea wangoni ndio watu hapa TZ wangekuwa wakali kutetea maslahi yao hao wakurya wakasome.
Kinyume chake ni mbingu na nchi. Kuna siku nili wauliza wangoni marafiki zangu, inakuwaje mpo hivyo?
Mmoja wao alisema ni madhara ya Mjerumani kunyonga machifu hadharani huku raia wangoni wakishuhudia.
Toka siku hiyo wangoni wakachagua kuwa wapole wapole maisha yasonge mbele.
Kuna faida raia wakiwa wapole wapole, japo walichofanya wajerumani ni jambo baya sana.
Samahani wangoni marafiki zangu kama nimewakwaza.
Umesahaua kila siku watu wa Tanapa wanaua ndugu zetu kwa risasi bila kufuata sheria.Akili nayo mzigo kwahy kila mtu akiwa anajichukulia sheria mkononi kuna atakaebaki duniani?
Nawaomba radhi sana.Tuombe radhi wakunyumba, tafadhari.
kwhy vita ya panga na bunduki sio?Umesahaua kila siku watu wa Tanapa wanaua ndugu zetu kwa risasi bila kufuata sheria.
Jicho kwa jicho
Hapo sawa.Nawaomba radhi sana.
Eeeh! 🙆🏾♂️🙆🏾♂️🙆🏾♂️Marahaba mkuu.