A
Anonymous
Guest
Sisi ni wakusanya ushuru wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui. Tunakabiliwa na changamoto ya kutolipwa posho zetu kwa wakati, ambapo tumekaa miezi miwili mfululizo bila kupokea malipo hayo.
Aidha, posho tunazolipwa ni ndogo sana na hazitolewi kwa wakati, hali inayotuletea changamoto katika kutekeleza majukumu yetu na kumudu mahitaji ya kila siku.
Tunaomba mamlaka husika zifuatilie suala hili na kuhakikisha kuwa posho zetu zinalipwa kwa wakati na kwa utaratibu unaostahili.