Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Inasikitisha sana ,JWTZ ,UHAMIAJI na POLICE ajira wamepewa WaZENJI ,"Da Mange Kasema".Mbona muda unazidi kwenda?
Watu wa system tuambizane jamani tujiandae na chochote kitu mana mkono mtupu haulambwi
Ili kukwamisha ukombozi?Inasikitisha sana ,JWTZ ,UHAMIAJI na POLICE ajira wamepewa WaZENJI ,"Da Mange Kasema".
Wanaibaka Tanganyika.Ili kukwamisha ukombozi?
Hivi kaka 3m kuhonga inaweza kutosha kumpa afisa yoyote ili akuingize jeshini?? PolisWewe kuwa mgeni wao kila mara kwenye hiyo tovuti yao, hazina muda maalumu wa kutoka hizo.
Unataka ukaue watu kama walivyofanya oktoba 29?Mbona muda unazidi kwenda?
Watu wa system tuambizane jamani tujiandae na chochote kitu mana mkono mtupu haulambwi
Hapana nataka kuhakika wa kipatoUnataka ukaue watu kama walivyofanya oktoba 29?
mie mtiziii nimepata mboona , sema natapanga mambo kimya kimya kama Rambo au James Bond ama Jason Bourne, niwarudishie nchi lenuInasikitisha sana ,JWTZ ,UHAMIAJI na POLICE ajira wamepewa WaZENJI ,"Da Mange Kasema".
Mkuu 3m kwa kuhonga inaweza kukufanya upate kazi jeshi la polisi?mie mtiziii nimepata mboona , sema natapanga mambo kimya kimya kama Rambo au James Bond ama Jason Bourne, niwarudishie nchi lenu
Hapana mie sijahonga, Rushwa ni adui wa maendelea na taifaMkuu 3m kwa kuhonga inaweza kukufanya upate kazi jeshi la polisi?
Corruption is bad when you are not involved but when you are involved it called a deal not corruptionHapana mie sijahonga, Rushwa ni adui wa maendelea na taifa
Nakuambia mkuu achana na mambo ya Rushwa wala usitoe rushwa kama ridhiki yako ipo ipo tu.. Sijawai toa rushwa mkuu na sitokuja toa rushwaCorruption is bad when you are not involved but when you are involved it called a deal not corruption
Anyway kule CCP kuna wenzio ambao waliingia kwa kutoa mlungula?
Daah unahonga kuwa njagu si kazi za kupata tu hizo au..Mkuu 3m kwa kuhonga inaweza kukufanya upate kazi jeshi la polisi?
Mkuu mimi sina connection yoyote na nina wadau kibao wameenda CCP kwa kutoa 2m wengi tu sasa kama ipo ipo tu ila kama hela ipo utarahisisha zaidi kamandaNakuambia mkuu achana na mambo ya Rushwa wala usitoe rushwa kama ridhiki yako ipo ipo tu.. Sijawai toa rushwa mkuu na sitokuja toa rushwa
Sio rahisi MkuuDaah unahonga kuwa njagu si kazi za kupata tu hizo au..
Wewe utapigwa hiyo hela na kazi usipate. Nakuambia kama bro wako chukua taaadhari wengi wanaliwa hela zao na kufanya hivyo narudia ni kosaMkuu mimi sina connection yoyote na nina wadau kibao wameenda CCP kwa kutoa 2m wengi tu sasa kama ipo ipo tu ila kama hela ipo utarahisisha zaidi kamanda