π π kuna wenye visukari mapadre kabisaa mkuu..Anakisukari yule tena ma pressure yanamsumbua hatoboi 2028 tukiwa hai uje unirogeeπ
Karma is bitch ππ π kuna wenye visukari mapadre kabisaa mkuu..
utashangaa hata kaka Muliro na Mafwele wana staafu na wanadunda na maisha yaoo hii ndio bongo iliyojawa na u snitch na kunafikianaa ..
dual lako halitofanya kazi mkuu π π π
Karma which πππ
What's goes around comes around msemo wa wahengaπKarma which πππ
au wewe ndio Karma mwenyewe ...
Nchi imejaa manyumbu hii karma yenyewe inagopa kufanya kazi
Waambie umeomba Mungu Mungu kakujibu washikishe 3m haoIla kaka kwenye interview level ya mkoa nimefika mara nne
Majina ambayo yanatumwa kureport CCP ni majina ya watu ambao hata kwenye interview hawapo
Na nina 30 this is my last opportunity for this year ndio maana nataka kutoa chochote maana nishaomba sana Mungu hakuna kitu mkuu
Sio kama napenda kufanya kosa but uhalisia kama huna connection ya uhakika kupata ni ngumu kaka
Kikwete hadi leo anadundaa tuu πππ.. mbona comes around goes around haindi kwakee..What's goes around comes around msemo wa wahengaπ
Hivi kaka 3m kuhonga inaweza kutosha kumpa afisa yoyote ili akuingize jeshini?? Polis
Nakuambia mkuu achana na mambo ya Rushwa wala usitoe rushwa kama ridhiki yako ipo ipo tu.. Sijawai toa rushwa mkuu na sitokuja toa rushwa
Sitaki
Kijana wewe bado hujafunguka akili haaaahaa π
Bado sana upo kwenye UJITUKABEJA
POLE SANAAAAAA.
SISI WENGINE TUMESHA FANYA IZO KAZI NA TUKAONA SIO KAZI ZA WATU WENYE IQ
Jambo afande
Wazi afande
Nimepigiwa sana saluti na kuitwa AFISA yaah mpaka barabarani napigiwa saluti popote nilipo kua mpaka Leo vijana BAADHI Huwa wananiita afisaaa
Issue za kushika BUNDUKI juani kikakamavu sijui mambo ya majeshi utanidanganya nini
Mimi ndio nilikua nakaa na ROASTER book napanga Malindo yotee... Askari walio wengi ni WALEVI sanaaaaaa
Jikite kwenye kilimo π π ndugu yangu na ufugaji wa kisasa
Rushwa adui wa maendeleo ya taifa, na Rushwa umeina inavyoteketeza taifa sasa hivi ? Haya yanayo endelea ni matokeo ya rushwaa mkuu.. Kijana. ajiangalie sasa hivi tunakamata mtoa rushwa na mlajiWewe acha uongo,mnasemaga sasa? Em mpe mwenzio ukweli nae apate kitengo avae sare, khaaah
Unaijua armour? Mimi nilikua ndio nakaa na funguo.Ila wewee, πππ
Na hata kama wamepewa wamatumbi wengi wanavuka maji kufanya kazi na kina Baka ili kuongeza ulinzi huko NungwiInasikitisha sana ,JWTZ ,UHAMIAJI na POLICE ajira wamepewa WaZENJI ,"Da Mange Kasema".