wakuu anaweza kunisaidia kunipa taarifa juu ya kifaa hiki

wakuu anaweza kunisaidia kunipa taarifa juu ya kifaa hiki

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
WhatsApp Image 2024-03-08 at 17.58.47.jpeg

nimeambiwa hiki ni kifaa cha kuweza kuweka lain za sim nyingi hadi laini 8 kwa wakati mmoja kwa pamoja, naomba kuuliza inaruhusiwa kisheria kumiliki hiki kifaa na kama ni ndio kinapatikana wapi? maana kwa kazi zangu natamani sana nipate kifaa kama hiki ili nisave gharama.
 
1. Ingia google search
2. Bonya kitufe cha camera kilicho pembezoni mwa kitufe cha kipaza sauti.
3. Utaombwa kukubali google ichukue maudhui katika galari yako.
4. Pandisha picha hiyo kwenye wavuti wa google kisha, itakupa majibu ya kifaa hicho.
 
View attachment 2933424
nimeambiwa hiki ni kifaa cha kuweza kuweka lain za sim nyingi hadi laini 8 kwa wakati mmoja kwa pamoja, naomba kuuliza inaruhusiwa kisheria kumiliki hiki kifaa na kama ni ndio kinapatikana wapi? maana kwa kazi zangu natamani sana nipate kifaa kama hiki ili nisave gharama.
Hizo line unaziweka kwenye kifaa ili ufanyeje?
 
Fafanua kazi gani, kuna watu walikua wanatumia vifaa kama hivyo kwa shughuli ambazo ni kinyume na sheria, inategemea unafanyia nini.

Kama haram TCRA wanakuhusu kama halali haina shida ni sawa kuwa na simu 8
 
Kwa kifupi Itabidi ukapate leseni kama unataka kufanya biashara ya kurusha sms.
 
Tafuta mgambo na kodi frem kisha ww kua mkuu w kituo. Toa haki bila upendeleo sw.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom