Hizo line unaziweka kwenye kifaa ili ufanyeje?View attachment 2933424
nimeambiwa hiki ni kifaa cha kuweza kuweka lain za sim nyingi hadi laini 8 kwa wakati mmoja kwa pamoja, naomba kuuliza inaruhusiwa kisheria kumiliki hiki kifaa na kama ni ndio kinapatikana wapi? maana kwa kazi zangu natamani sana nipate kifaa kama hiki ili nisave gharama.