Mkuu ukichukua hiyo Kadi ya BancABC inachukua muda gani mpaka iwe tayari kwa matumizi ya online transaction?Na Je kama unafahamu dial code zao za mobile banking naomba unisaidieBancABC cash card ni tsh 15,000
Wakativkwa
Equit Bank ni tsh 10,000
Ili kupata card hapo kwa hapo inatakiwa uwe na kitambulisho cha mpiga kura au Leseni au passport.
Benk zote mbili tajwa inakuchukua muda wa dk 15 tu. Unaondoka ukiwa na kadi yako tayari kwa kufanya manunuzi Online.
Kwa ushauri nenda equit bank.
Itakuchukua dakika 15 - 20 kupata kadi iliyotayari kwa matumiziMkuu ukichukua hiyo Kadi ya BancABC inachukua muda gani mpaka iwe tayari kwa matumizi ya online transaction?Na Je kama unafahamu dial code zao za mobile banking naomba unisaidie
Sio kusudi la mleta uziYaani mimi ningekuwa Rais nongemteuwa Mkurugenzi wa benki ya CRDB Charles Kimei kuwa Gavana wa Benki kuu. Huyu mtu ameitoa benki hiyo chini kabisa na sasa hivi ni moja ya mabenki yanayostawi ktk ukanda huu wa afrika mashariki. Ameiwezesha kutanua huduma zake hadi nchi jirani.
Ongeza na UBA wao pia wana kadi za namna hiyo kwa gharama ya 10,000/=BancABC cash card ni tsh 15,000
Wakativkwa
Equit Bank ni tsh 10,000
Ili kupata card hapo kwa hapo inatakiwa uwe na kitambulisho cha mpiga kura au Leseni au passport.
Benk zote mbili tajwa inakuchukua muda wa dk 15 tu. Unaondoka ukiwa na kadi yako tayari kwa kufanya manunuzi Online.
Kwa ushauri nenda equit bank.
Nililazimika kutoka CRDB kwa sababu ya kupoteza pesa. Jibu nililopata ni kuwa online transaction hawawezi kuzitrack mpaka wawasiliane na VISA company US. Sikupata msaada wowote, sasa natumia UBA cardFor security na convenience ichukue CRDB.
Niliangaika sana na kuichukia crdb bila kujua kuwa kumbe authenticity wanayoifanya wakati wa registration ndio security ya pesa.
Kuna mtu wangu aligoma akachagua benki flani ivi. Mpaka leo aliliwa online mil2
Naona crdb wako vizuri
Kwakweli equity bank wapo poa sana sana ktk hizi huduma. Mi natumia ATM card yangu kufanya online transactions!!Itakuchukua dakika 15 - 20 kupata kadi iliyotayari kwa matumizi
BancABC hawana dial code yao. Bali hutumia za makampuni ya simu kama *150*00# au *150*01# nk ili kuweza kuongeza fedha kwenye account yako. Huenda kwa siku zijazo wakawa nayo.
Ila kwa equity bank wanayo hii *150*07# ,Kisha ingiza PIN no. yako. (itafanya kazi kwa namba ambayo uliyojaza katika fomu ya benki) Menu itakayotokea ni hii.
Pia kwa equit wana application yao, utaipata play store, Ina mengi yakufanya hivyo kumaliza mahitaji yako yote ya kibenki kutumia simu yako.
Karibu
Hivi hakuna njia ya kuweka pin code kabla ya kufanya online payment? Mimi huwa hainiulizi pin codeHapana. Haupeleki picha.
Wao wenyewe watakupiga picha.