Itakuchukua dakika 15 - 20 kupata kadi iliyotayari kwa matumizi
BancABC
hawana dial code yao. Bali hutumia za makampuni ya simu kama *150*00# au *150*01# nk ili kuweza kuongeza fedha kwenye account yako.
Huenda kwa siku zijazo wakawa nayo.
Ila kwa equity bank
wanayo hii *150*07# ,Kisha ingiza PIN no. yako. (
itafanya kazi kwa namba ambayo uliyojaza katika fomu ya benki) Menu itakayotokea
ni hii.
Pia kwa equit wana application yao, utaipata play store, Ina mengi yakufanya hivyo kumaliza mahitaji yako yote ya kibenki kutumia simu yako.
Karibu