Weeee jamaa vipi? Badala ya kumshukuru Mungu kukutenga na kilevi unalalamika? Pombe kiuhalisia sio nzuri. Haina faida yoyote zaidi ya kukupotezea pesa na muda! Unaona wanaokunywa pombe wanafaidi saaana? Kalaghabaho wewe! Mimi nakunywa pombe nikiwa katika fursa ya kunywa nakunywa kama fursa sina sinywi! Utashangaa mvuta sigara anajiona anafaidi saana kuliko asiyevuta! Pia unaweza kukuta asiyevuta sigara anamuona mvutaji matawi ya juu! Huu woote ni useng*. Lakini ulevi ni ulevi tu unaweza ukawa hunywi pombe lakini ubongo umejaa papuchi za mwajuma, amina, Betty, Judy, n.k. na ukawa unatumia pesa nyingi kuliko mlevi. All in all respect maisha ya kila mtu aliyojichagulia. Mwisho kama umebahatika kutokunywa pombe achaa kabisa hii kitu sio! Lakini pia acha papuchi, sio tu zitakufilisi lakini utalogwa kama hutauwawa kwa kufumaniwa!