Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Heri ya mwaka mpya.
Hivi nyie mnawezaje? Mimi zimenishinda kabisa.
Msiseme mimi mtoto, nina miaka ya kutosha tu lakini kwa hizi bia nimenyanyua mikono.
Nakumbuka utotoni baba aliacha bia mezani, nikaiiba kidogo nikihisi ni tamu sana kutokana na wageni kuzishambulia pale nyumbani. Ilinishinda. Leo tena nimeijaribu wapi imenishinda kabisa. Nadhani leo ndo tumeagana.
RIP bia na pombe kwenye mwili wangu.