Wakuu, Bia na Pombe kwa ujumla vimenishinda


Bahati yangu mimi pia. Nilishajaribu bia zote zinakuwa chungu mdomoni mwangu. Toka mwaka 1998 sijawahi kunywa pombe na sitakunywa tena
 
Bahati yangu mimi pia. Nilishajaribu bia zote zinakuwa chungu mdomoni mwangu. Toka mwaka 1998 sijawahi kunywa pombe na sitakunywa tena
Pamoja sana kiongozi..... Hizi ndude kwa bahati nzuri zimetukataa.....Mola atuepushe mbali na kikombe hiki
 
Mkuu wewe ni me au ke? Kama ni me jiangalie sana, yani unadiriki kusema bia ni chungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna ubaya wowote na hiyo haimwondelei hadhi ya jinsia yake... Ni kama tu wanaokula pilipili wengine hawali,nyanyachungu,wengine humu wanalalamika kabechi nk...Bia ni CHUNGU.
 
Haha Mkuu uzuri hata huo ulevi wa papuchi sina……Ila hata kulalamika silalamiki zaidi napenda hali hiyo..
 
Dah...Acha ujinga wewe...bia sio lazima unywe wewe...nunua bia zimwage au wape wasio na uwezo wanywe wafurahi...
Hivi unajua nchi inapata mapato kiasi gani kutoka kwenye pombe? Familia ngapi zinaishi kwa kipato Cha biashara ya pombe?...kwa kifupi wewe ni Msaliti[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Rohombaya,
Kuna familia nyingi zinaishi kwa kutegemea biashara haramu... Vp na wenyewe tuwatetee kisa wanategemea sana hizo biashara kuendesha maisha yao....
Mimi kitu situmii siwezi nunulia mwingine sababu ntakuwa nampoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…