Wakuu, Bia na Pombe kwa ujumla vimenishinda

Wakuu, Bia na Pombe kwa ujumla vimenishinda

Heri ya mwaka mpya..
Hivi nyie mnawezaje...? Mimi zimenishinda kabisa.
Msiseme mimi mtoto,nina miaka ya kutosha tu lakini kwa hizi bia nimenyanyua mikono....
Nakumbuka utotoni baba aliacha bia mezani,nikaiiba kidogo nikihisi ni tamu sana kutokana na wageni kuzishambulia pale nyumbani...Ilinishinda.... Leo tena nimeijaribu wapi imenishinda kabisa... Nadhani leo ndo tumeagana...
RIP bia na pombe kwenye mwili wangu...

Bahati yangu mimi pia. Nilishajaribu bia zote zinakuwa chungu mdomoni mwangu. Toka mwaka 1998 sijawahi kunywa pombe na sitakunywa tena
 
Bahati yangu mimi pia. Nilishajaribu bia zote zinakuwa chungu mdomoni mwangu. Toka mwaka 1998 sijawahi kunywa pombe na sitakunywa tena
Pamoja sana kiongozi..... Hizi ndude kwa bahati nzuri zimetukataa.....Mola atuepushe mbali na kikombe hiki
 
Mkuu wewe ni me au ke? Kama ni me jiangalie sana, yani unadiriki kusema bia ni chungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna ubaya wowote na hiyo haimwondelei hadhi ya jinsia yake... Ni kama tu wanaokula pilipili wengine hawali,nyanyachungu,wengine humu wanalalamika kabechi nk...Bia ni CHUNGU.
 
Weeee jamaa vipi? Badala ya kumshukuru Mungu kukutenga na kilevi unalalamika? Pombe kiuhalisia sio nzuri. Haina faida yoyote zaidi ya kukupotezea pesa na muda! Unaona wanaokunywa pombe wanafaidi saaana? Kalaghabaho wewe! Mimi nakunywa pombe nikiwa katika fursa ya kunywa nakunywa kama fursa sina sinywi! Utashangaa mvuta sigara anajiona anafaidi saana kuliko asiyevuta! Pia unaweza kukuta asiyevuta sigara anamuona mvutaji matawi ya juu! Huu woote ni useng*. Lakini ulevi ni ulevi tu unaweza ukawa hunywi pombe lakini ubongo umejaa papuchi za mwajuma, amina, Betty, Judy, n.k. na ukawa unatumia pesa nyingi kuliko mlevi. All in all respect maisha ya kila mtu aliyojichagulia. Mwisho kama umebahatika kutokunywa pombe achaa kabisa hii kitu sio! Lakini pia acha papuchi, sio tu zitakufilisi lakini utalogwa kama hutauwawa kwa kufumaniwa!
Haha Mkuu uzuri hata huo ulevi wa papuchi sina……Ila hata kulalamika silalamiki zaidi napenda hali hiyo..
 
Heri ya mwaka mpya..
Hivi nyie mnawezaje...? Mimi zimenishinda kabisa.
Msiseme mimi mtoto,nina miaka ya kutosha tu lakini kwa hizi bia nimenyanyua mikono....
Nakumbuka utotoni baba aliacha bia mezani,nikaiiba kidogo nikihisi ni tamu sana kutokana na wageni kuzishambulia pale nyumbani...Ilinishinda.... Leo tena nimeijaribu wapi imenishinda kabisa... Nadhani leo ndo tumeagana...
RIP bia na pombe kwenye mwili wangu...
Dah...Acha ujinga wewe...bia sio lazima unywe wewe...nunua bia zimwage au wape wasio na uwezo wanywe wafurahi...
Hivi unajua nchi inapata mapato kiasi gani kutoka kwenye pombe? Familia ngapi zinaishi kwa kipato Cha biashara ya pombe?...kwa kifupi wewe ni Msaliti[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Rohombaya,
Kuna familia nyingi zinaishi kwa kutegemea biashara haramu... Vp na wenyewe tuwatetee kisa wanategemea sana hizo biashara kuendesha maisha yao....
Mimi kitu situmii siwezi nunulia mwingine sababu ntakuwa nampoteza.
 
EFC30165-8792-41FD-901D-0149C5958AAB.jpeg
hii kitu vipi ??? mkuu
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom