Wakuu depression inanimaliza

Wakuu depression inanimaliza

Kwema ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
Wote tumepitia hiyo hali mafanikio yako ni kutokamo kwenye hiyo hali, uwe mtulivu usikose focus usfiche hali mjinga ndo atakae kucheka.
 
Watu wanachanganya depression na stress

Hiyo sio depression, hiyo ni stress,
Stress ni rahisi kutibu, ukitatuliwa hilo tatizo tu inaondoka, mfano hapo ukipewa kazi tu hapo au mtaji mambo yako yanakuwa safi

Ila depression haitibiki kirahisi, unaweza kuwa bilionea ukawa unateswa na depression
 
shida tunakuwa(ga) na matarajio makubwa baada ya shule,tukikosa tu kidogo na mtazamo wa jamii basi mtu unadata.

jiamini mkuu mambo yatakuwa powa we endelea kupambana taratibu achana na mtazano jamii inakuonaje
 
Watu wanachanganya depression na stress

Hiyo sio depression, hiyo ni stress,
Stress ni rahisi kutibu, ukitatuliwa hilo tatizo tu unapona, mfano hapo ukipewa kazi tu hapo au mtaji unapona

Ila depression haitibiki kirahisi, unaweza kuwa bilionea ukawa unateswa na depression
Mkuu Ni depression hii ndio inanifanya hata kazi inakuwa ngumu kuipata
 
Back
Top Bottom