stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Hamna wewe tulia sio depression hio ungekua na depression hata kuandika hapa usingeandika na kujielezea wewe una stress,Mkuu Ni depression hii ndio inanifanya hata kazi inakuwa ngumu kuipata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna wewe tulia sio depression hio ungekua na depression hata kuandika hapa usingeandika na kujielezea wewe una stress,Mkuu Ni depression hii ndio inanifanya hata kazi inakuwa ngumu kuipata
Hamna ambaye anataka ateseke na huku ana degree mkononishida tunakuwa(ga) na matarajio makubwa baada ya shule,tukikosa tu kidogo na mtazamo wa jamii basi mtu unadata.
jiamini mkuu mambo yatakuwa powa we endelea kupambana taratibu achana na mtazano jamii inakuonaje
Hapa sio mahala pake, kuwa na adabuHamna mbaya nmekumbuka Jana ulikua unataka kunjunjwa ghafla,
Kumbe tupo wengi! pole man yaani.Auko peke ako kaka .mimi ni mmoja ninaepitia nyakati ngumu za maisha mlo mmoja mchana usiku nakula andazi moja ila naimani ni kuwa na subra na kutengeneza marafiki wapya. Jamiiforum ndio unipotezea stress za maisha .
😆 Karibu PM yangu ipo wazi,Hapa sio mahala pake, kuwa na adabu
Duh kuoga Mara moja kwa wiki mkuuDepression usingeweza hata kuandika
Omba sana usipate Depression maana kila kitu utakiona kibaya hata kuoga utaacha
Mawazo ya kujiua ni kama unakunywa maji tu
Hizo ni stress tu ukipigwa ka milioni aah
Uko Sawa ila stress na depression ni kaka na dadaWatu wanachanganya depression na stress
Hiyo sio depression, hiyo ni stress,
Stress ni rahisi kutibu, ukitatuliwa hilo tatizo tu unapona, mfano hapo ukipewa kazi tu hapo au mtaji unapona
Ila depression haitibiki kirahisi, unaweza kuwa bilionea ukawa unateswa na depression
Huna hadhi hiyo😆 Karibu PM yangu ipo wazi,
Safari lager ndo unataka kuniua na double kikiVuta Sigara utakua sawa tu,
Teh teh tehHuna hadhi hiyo
Yeah sureThere is light at the end of the tunnel mkuu, just hang on.
Umejuaje jinsia yake kuwa yeye ni kaka na sio dadaAuko peke ako kaka .mimi ni mmoja ninaepitia nyakati ngumu za maisha mlo mmoja mchana usiku nakula andazi moja ila naimani ni kuwa na subra na kutengeneza marafiki wapya. Jamiiforum ndio unipotezea stress za maisha .
watu wana underestimate depression i've been there, pamoja na kasalary cha kuendeshea maisha ila sikufanikiwa kuchomoka mpaka dakika hii naandika comment hii, i'm not sure kama ipo au haipo, it's a hell.Depression usingeweza hata kuandika
Omba sana usipate Depression maana kila kitu utakiona kibaya hata kuoga utaacha
Mawazo ya kujiua ni kama unakunywa maji tu
Hizo ni stress tu ukipigwa ka milioni aah
Tuna maombi ya kuingia kwenye Mpango wa Kilimo wa Vijana huko Wizara ya Kilimo au kwenye Mpango wa kunenepesha mifugo Wizara ya mifugo.Kwema ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
Usiwe muoga, 😆Safari lager ndo unataka kuniua na double kiki
Hadhi ipi hio ya kua na depression?Huna hadhi hiyo