stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Ndio kilichobakia huna cha kupoteza,Kiongozi kama nini we jikatae tu maisha yenyewe hayaeleweki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kilichobakia huna cha kupoteza,Kiongozi kama nini we jikatae tu maisha yenyewe hayaeleweki.
🚮🚮🚮 Na wewe nimekueka humo na ma depression yako,
Hapo ndo huwa najiuliza Mungu yuko wapi?Kiongozi kama nini we jikatae tu maisha yenyewe hayaeleweki.
Mungu akusaidie. cha muhimu kuelewa ni kuwa ni Mungu tu anaweza kukusaidia, mwanadamu hawezi kukusaidia. mtafute Yesu Kristo, yeye alihuzunika, alipata depression hadi akatoa jasho la Damu, ili sisi tumtwishe yeye fadhaa/huzuni/depression zetu. its real. Okoka, ni shetani anakuumiza moyo ili upate magonjwa ya moyo au ujiue n.k, amani ya kweli inapatikana kwa Yesu, yeye ni Mfalme wa amani, akiwa moyoni mwako, utapata amani na utulivu wa moyo mno hadi hata kama unapitia maisha ya aina gani, utapata amani, na atakupa njia.Kwema ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
Viksi tayari ninayo hapa mkononi, nipe maelekezo mkuu.Tafuta jimama tumia viksi lotion peleka moto utaishi vizur tu
Kweli stress ya muda mrefu hupelekea depressionIla Stressors ndio hupelekea Stress ambayo hupelekea Depression.Depression ni kama kupoteza apetite ya maisha.Stress ni kuwa na appetite na usivyoweza kupata kwa hali yako ya sasa.Ukikosa kwa muda mrefu na appetite ikipote unaingia katika deep stress ambyo ndo depression.
Daaa hii hatari kujimaliza kwenye moyo wangu nafsi mbili zinapigana moja yes moja wait .Maisha hayaBRO JAPO UTAKUWA MDOGO KIUMRI BINAFSI NIMEKUELEWA,,
MAISHA NI UPUMBAVU MKUBWA,NINAYO KAZI,JAPO INALIPA KIDUCHU ILA NIMESHIDWA KUFANYA KILA KITU(NAMAANISHA HATA KMOJA SIJAFANYA NA NNA 10YRS KAZN..
NAKUWA NATAMANI SIKU ZA MSHAHARA ZISIFIKE KWANI ZIKFKA WADENI NDO HUNIUMIZA KICHWA ZAIDI,NIKIUMIZWA HISIA PIA NA JIFICHA NIKIWA HUKO SILI,SICHUKUI DEMU ILA NABET NA KUNYWA POMBE JAP6 ZINANIDHURU!!
NIMEFANYA HIV KWA MUDA WA MIAKA KAMA 2 MFLULZO,
MATOKEO;NIMESHUKA KILO SANA,
NIMEUZA VITU VYANGU VYOTE,
SITAKIW NILKOPANGA KWN MKE NDO KAINGIA MKTABA WA UPANGAJ
SIWAJAR WATOTO
NINA MADENI MAKUWA HAYALIPIKI!
SIWEZ KWENDA AU KUMTEMBELEA MTU NA TUKAONGEA!
UKWEL NSHAPIGA HESAB ZA KUKMBIA AU KUJIMALZA ILA ZOTE ZIMEGOMA,NAPANGA LEO LEO KWENDA KANISANI!
Pole sana. ☹️Kwema ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
Si tunaenda WAGNER PMC, tukafie frontline.Bado chama chetu cha kufa kuzikana kinahotaji wanachama haujachelewa mje mjiunge, kwa wale wanaojisikia dalili za kufa kufa
Una maanisha niniKiongozi kama nini we jikatae tu maisha yenyewe hayaeleweki.
Siwezi kujidhulu nitapambana mpaka mwisho
mkuu chukua maamuzi magumu tu, kama kuhama hama, then kubali kuanzia chini then mambo yatajipa tu haina kufeli mkuuKwema ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
Pole sana mkuu,iwe stress iwe depression yote sio hali nzuri.Kesho yako huijui msongo wa mawazo na kuona km una nuksi maana hufanikiwi ilihali hufahamu ni wapi umekosea ni hali mbaya sana.Nakuelewa sana,wengi tumepitia au tunapitia hali hyoKwema ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
Pole sana tupo wengi na huu mwaka wa 3 na visomo vya juu kabisa hakuna kazi, ila Mungu sii mwanadamu hali itabadilika muda sio mrefu.Kwema ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
Watu wanachanganya depression na stress
Hiyo sio depression, hiyo ni stress,
Stress ni rahisi kutibu, ukitatuliwa hilo tatizo tu inaondoka, mfano hapo ukipewa kazi tu hapo au mtaji mambo yako yanakuwa safi
Ila depression haitibiki kirahisi, unaweza kuwa bilionea ukawa unateswa na depression
Depression usingeweza hata kuandika
Omba sana usipate Depression maana kila kitu utakiona kibaya hata kuoga utaacha
Mawazo ya kujiua ni kama unakunywa maji tu
Hizo ni stress tu ukipigwa ka milioni aah