Wakuu depression inanimaliza

Wakuu depression inanimaliza

Kwema ndugu zangu,

Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
Mungu akusaidie. cha muhimu kuelewa ni kuwa ni Mungu tu anaweza kukusaidia, mwanadamu hawezi kukusaidia. mtafute Yesu Kristo, yeye alihuzunika, alipata depression hadi akatoa jasho la Damu, ili sisi tumtwishe yeye fadhaa/huzuni/depression zetu. its real. Okoka, ni shetani anakuumiza moyo ili upate magonjwa ya moyo au ujiue n.k, amani ya kweli inapatikana kwa Yesu, yeye ni Mfalme wa amani, akiwa moyoni mwako, utapata amani na utulivu wa moyo mno hadi hata kama unapitia maisha ya aina gani, utapata amani, na atakupa njia.
 
Ila Stressors ndio hupelekea Stress ambayo hupelekea Depression.Depression ni kama kupoteza apetite ya maisha.Stress ni kuwa na appetite na usivyoweza kupata kwa hali yako ya sasa.Ukikosa kwa muda mrefu na appetite ikipote unaingia katika deep stress ambyo ndo depression.
Kweli stress ya muda mrefu hupelekea depression
Ila stress sio depression
 
BRO JAPO UTAKUWA MDOGO KIUMRI BINAFSI NIMEKUELEWA,,

MAISHA NI UPUMBAVU MKUBWA,NINAYO KAZI,JAPO INALIPA KIDUCHU ILA NIMESHIDWA KUFANYA KILA KITU(NAMAANISHA HATA KMOJA SIJAFANYA NA NNA 10YRS KAZN..
NAKUWA NATAMANI SIKU ZA MSHAHARA ZISIFIKE KWANI ZIKFKA WADENI NDO HUNIUMIZA KICHWA ZAIDI,NIKIUMIZWA HISIA PIA NA JIFICHA NIKIWA HUKO SILI,SICHUKUI DEMU ILA NABET NA KUNYWA POMBE JAP6 ZINANIDHURU!!
NIMEFANYA HIV KWA MUDA WA MIAKA KAMA 2 MFLULZO,

MATOKEO;NIMESHUKA KILO SANA,
NIMEUZA VITU VYANGU VYOTE,
SITAKIW NILKOPANGA KWN MKE NDO KAINGIA MKTABA WA UPANGAJ
SIWAJAR WATOTO
NINA MADENI MAKUWA HAYALIPIKI!
SIWEZ KWENDA AU KUMTEMBELEA MTU NA TUKAONGEA!

UKWEL NSHAPIGA HESAB ZA KUKMBIA AU KUJIMALZA ILA ZOTE ZIMEGOMA,NAPANGA LEO LEO KWENDA KANISANI!
Daaa hii hatari kujimaliza kwenye moyo wangu nafsi mbili zinapigana moja yes moja wait .Maisha haya
 
Kwema ndugu zangu,

Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
Pole sana. ☹️
Maisha ni vita! Hivyo hakuna kukata tamaa. Unatakiwa kuendelea tu kupambana, mwanzo mwisho. Ipo siku yako tu hali itatengemaa.
 
Hali ni tete sana kwa vijana na wazee,ukikosa ajira unaweza ukajira [emoji26]
 
Kwema ndugu zangu,

Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
mkuu chukua maamuzi magumu tu, kama kuhama hama, then kubali kuanzia chini then mambo yatajipa tu haina kufeli mkuu
 
Depression usiiombe mkuu Ile ni kama umetupiwa makini ama mashetani.Ukienda hospital ugonjwa hamna na ukienda Kwa waganga ugonjwa hamna.Usiombe hii kitu.
 
Kwema ndugu zangu,

Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
Pole sana mkuu,iwe stress iwe depression yote sio hali nzuri.Kesho yako huijui msongo wa mawazo na kuona km una nuksi maana hufanikiwi ilihali hufahamu ni wapi umekosea ni hali mbaya sana.Nakuelewa sana,wengi tumepitia au tunapitia hali hyo
 
Kwema ndugu zangu,

Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
Pole sana tupo wengi na huu mwaka wa 3 na visomo vya juu kabisa hakuna kazi, ila Mungu sii mwanadamu hali itabadilika muda sio mrefu.
 
Watu wanachanganya depression na stress

Hiyo sio depression, hiyo ni stress,
Stress ni rahisi kutibu, ukitatuliwa hilo tatizo tu inaondoka, mfano hapo ukipewa kazi tu hapo au mtaji mambo yako yanakuwa safi

Ila depression haitibiki kirahisi, unaweza kuwa bilionea ukawa unateswa na depression

Inatibika kirahisi saaana!
Acha uwongo wako hapa [emoji35]
Dawa za antidepressant zimejaa tele, ubaya wa hizo dawa zina side effects mbaya, moja wapo ni kuondoa kabisa hamu ya tendo la ndowa, ndio maana watu hawazipendi.
Na hawa tumii na ugonjwa unarudi bila kujijua!
MENTAL HEALTH NI NI PANA KAMA BAHARI walahi [emoji22]
 
Depression usingeweza hata kuandika
Omba sana usipate Depression maana kila kitu utakiona kibaya hata kuoga utaacha
Mawazo ya kujiua ni kama unakunywa maji tu
Hizo ni stress tu ukipigwa ka milioni aah

Umeona ehh
Sasa dawa zake another side effects ni kutaka kujiua!
Sasa 🥹ni kazi kweli kweli walahi!
Tema mate chini usikumbwe walahi [emoji22]
 
Back
Top Bottom