chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Wote tumepitia hiyo hali mafanikio yako ni kutokamo kwenye hiyo hali, uwe mtulivu usikose focus usfiche hali mjinga ndo atakae kucheka.Kwema ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
PamojaWote tumepitia hiyo hali mafanikio yako ni kutokamo kwenye hiyo hali, uwe mtulivu usikose focus usfiche hali mjinga ndo atakae kucheka.
Nimeona nieleze maana Ni tough situationPole sana, kwaiyo unataka ushauri ama kitu gani?
Sawa mkuuChange ya mindest. Acha kutengeneza fikira ambazo wanawazia wengine. Ishi maisha yako. Kubali ukweli
Vuta Sigara utakua sawa tu,Niko stressed sana
Mkuu vipi upo vyema?Pambana usikate tamaa,
There is light at the end of the tunnel mkuu, just hang on.Kwema ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
pole sana,haupo peke yakoKwema ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
Sawa ndugu pole sana piaNakuelewa..na uwe na imani huku ukiweka juhudi kila kitu kitakaa sawa
Napitia situation kama hiyo
Niko vyema, nini mbaya kwani?Mkuu vipi upo vyema?
Mkuu Ni depression hii ndio inanifanya hata kazi inakuwa ngumu kuipataWatu wanachanganya depression na stress
Hiyo sio depression, hiyo ni stress,
Stress ni rahisi kutibu, ukitatuliwa hilo tatizo tu unapona, mfano hapo ukipewa kazi tu hapo au mtaji unapona
Ila depression haitibiki kirahisi, unaweza kuwa bilionea ukawa unateswa na depression
Hamna mbaya nmekumbuka Jana ulikua unataka kunjunjwa ghafla,Niko vyema, nini mbaya kwani?