milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
👍Mama hajachangia chochote dola kushuka. Msidanganyike huo ni mtikisiko wa Dola duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍Mama hajachangia chochote dola kushuka. Msidanganyike huo ni mtikisiko wa Dola duniani
ila tunabadili aina za gari tuu kama hii fortuner ya 2019 siitak nmeiona ya 2023 nasubiri posho kutoka DP WORLD WIKII HII kuna meli inaingia kimagendo pale kuna deal la milion 180 within a weekKumbe tuko wengi ambao hatuna magari 😁😆
Nipo mitaa ya kwenu mkuuNitajuaje...nifahamishe ndugu...pole na kazi pia
Trump na Dola kupanda vinahusianaje?Trump akiapa tu lazima dollar ipande
Karibu sana kiongozi..siye wenyeji hatuna bayaNipo mitaa ya kwenu mkuu
AbeeeMa Elisha
Baada ya Trump kuapa dollar itapanda hadi TSh 5000 kama una Hela nunua mapemaSikieni wakati wa kununuw Dola ni sas 3 monthly hvy basi hali hiii imetokea kwasababu ya uchanguzi marekan na kushusha interest rate ya $ nikuwavutia wawekezaji na gold himepanda
Habari za siku mamaAbeee
Endelea kudanganya wenzakoBaada ya Trump kuapa dollar itapanda hadi TSh 5000 kama una Hela nunua mapema
Salama kabisaHabari za siku mama
Dollar ikifika 2000 tz haita kuwa na passo
Nitakuwa nayo Mimi 😆😆Dolla ikifika 2,000 basi unaagiza paso na kodi kabisa kwa mil 12
Hiyo inakaribia 100 soonHapa nilipo USD 1 ni Ksh 98