Wakuu Dola ikifika 2,000 nistueni niagize Passo yangu chapu kwa haraka

Sikieni wakati wa kununuw Dola ni sas 3 monthly hvy basi hali hiii imetokea kwasababu ya uchanguzi marekan na kushusha interest rate ya $ nikuwavutia wawekezaji na gold himepanda
 
Sikieni wakati wa kununuw Dola ni sas 3 monthly hvy basi hali hiii imetokea kwasababu ya uchanguzi marekan na kushusha interest rate ya $ nikuwavutia wawekezaji na gold himepanda
Baada ya Trump kuapa dollar itapanda hadi TSh 5000 kama una Hela nunua mapema
 
Pamoja na kuwa chawa wa mama lakini hauna hata hako ka Passo?.pole sana chawa wa mama maana kama inasubiri Dolla ifike 2000 haiwezi kufika.kushuka Kwa Dolla ni sababu tu za kisiasa huko marekani na baada ya mwezi huu wa kumi na mbili itapanda Tena mara dufu.
 
Dollar ikifika 2000 tz haita kuwa na passo
Dolla ikifika 2,000 basi unaagiza paso na kodi kabisa kwa mil 12
Nitakuwa nayo Mimi πŸ˜†πŸ˜†

Imeshaanza kukaribia πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/BankOfTanzania/status/1867472805081887169?t=dCCJZyuqOcvWqJNBaIZWnA&s=19
Ila mabibi kizee yenye nongwa yameanza kupayuka huko πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/AnnaTibaijuka/status/1868212265012326502?t=8m1tV12HoYxKXZdLqHKjxw&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…