dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
vyuma vimekaza mkuu
Gar zenye usajir wa Zanzibar huwa zinaingia kwao kwa punguzo LA kodi ukiinunua ikifika bara ili usajiri upya kwa T lazima ulipe difference ya KODI ya msamaha.wanaangalia value ya gar ilitakiwa kulipa being gan wanatoa KODI iliyolipwa Zanzibar then iliyobaki unalipaKwa vile ni Zanzibar na hii gari haidaiwi ushuru watakubadilishia tu kwa gharama nafuu
Karibu sana mkuu
we sema nimelala njaahahahaaa watu wengine buana milioni kumi na nane ni bei chee?
Labda ishauzwa,Mbona umeacha ku update uzi mkuu?
hahaha aiseeLabda ishauzwa,
Au amekumbuka ule msemo wa Einstein kua "Ujinga ni Kufanya Kitu hicho hicho kwa Kukirudia rudia huku ukitegemea Matokeo Tofauti"