Wakuu gari aina ya ford everest inauzwa kwa bei chee kabisa

Gari hii bado Iko sokoni wakuu karibuni sana

Karibuni sana wakuu
 
Kwa vile ni Zanzibar na hii gari haidaiwi ushuru watakubadilishia tu kwa gharama nafuu
Karibu sana mkuu
Gar zenye usajir wa Zanzibar huwa zinaingia kwao kwa punguzo LA kodi ukiinunua ikifika bara ili usajiri upya kwa T lazima ulipe difference ya KODI ya msamaha.wanaangalia value ya gar ilitakiwa kulipa being gan wanatoa KODI iliyolipwa Zanzibar then iliyobaki unalipa
 
Wakuu gari hii bado Iko sokoni karibu sana wakuu

Karibuni sana wakuu
 
Mbona umeacha ku update uzi mkuu?
Labda ishauzwa,

Au amekumbuka ule msemo wa Einstein kua "Ujinga ni Kufanya Kitu hicho hicho kwa Kukirudia rudia huku ukitegemea Matokeo Tofauti"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…